Napataje subtitle ‘English’ kwa baadhi ya channel za Azam TV

Napataje subtitle ‘English’ kwa baadhi ya channel za Azam TV

Palina

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2021
Posts
3,551
Reaction score
9,522
Hello

Napataje subtitle ‘English’ kwa baadhi ya channel mfano Colors International na Star Life kwa Azam Tv

Nimejaribu kila mbinu mpaka kifanya Factory reset lakini naambulia patupu 🥹🥹🥹

IMG_4139.jpeg
 
Mods rekebisha title isomeke

Nashindwa kupata Subtitle ‘English’ kwa channel ya StarLife Azam TV
 
Sio kila channel ina subs za english.
 
Sio kila channel ina subs za english.
ni jweli but kuna hizi zinakua na subtitle ya kiswahili sasa
nataka
nibadili iwe english

angalia kuna picha nimeambatanisha hapo juu
 
Back
Top Bottom