SWEET GIRL
JF-Expert Member
- Dec 29, 2011
- 520
- 377
Heshima mbele,
jamani toka jana nasikia kichefu chefu cha ajabu sana.najua wapo watakao sema ni mimba lakini sina mimba nina uhakika na pia malaria sina.sasa sijajua hichi kichefu chefu kinatokana na nini tafadhali naomba mnisaidie nile nini kipotee??? jana nilitumia ndimu lakini bado nakisikia.kinanipa shida kweli.naombeni msaada.
mmh! MIA!!!kichefuchefu siku mbili? nenda ukamuone doctor aisee. mkesha wa sikukuu ya christmas ulifanyanini?. kwa kukusaidia huduma ya kwanza fanya hivi; Nusa kikwapa chako kama mala 5 hivi.yaani weka mkono kwapani halafu uwe unaunusa. ukivuta kama mala 5 hiyo hali itaisha. hii dawa nilipewa na bibi. huwa natumia kila nisikiapo kichefuchefu na kinaisha. Mia
kichefuchefu siku mbili? nenda ukamuone doctor aisee. mkesha wa sikukuu ya christmas ulifanyanini?. kwa kukusaidia huduma ya kwanza fanya hivi; Nusa kikwapa chako kama mala 5 hivi.yaani weka mkono kwapani halafu uwe unaunusa. ukivuta kama mala 5 hiyo hali itaisha. hii dawa nilipewa na bibi. huwa natumia kila nisikiapo kichefuchefu na kinaisha. Mia
Una uhakika gani huna kama hujapima?
Nenda kapime yawezekana ni mimba changa
Ulikula nini kabla hujaanza kusikia kichefuchefu?
Je kuna dawa unazotumia regular kama dawa za moyo, arvs na nyinginezo?
pombe situmii na kula yangu ni asubuhi na mchana tu usiku mara nyingi nakunywa plain tea,au matunda na sometimes soda tuInategemea umri wako na kama unakunywa vileo au la. Ila kuna watu hupata kichefuchefu ama baada tu ya kula (hasa vyakula vyenye maji maji kama supu) au akikaa muda mrefu bila kula.
Fanya yafuatayo huenda ikakusaidia:
[*=1]Usiwe unakula chakula cha moto na cha baridi wakati mmoja (kwa mfano pilau ya moto na kachumbari/soda baridi).
[*=1]Kunywa green tea na kula ndizi mbivu asubuhi.
[*=1]Kama unakunywa pombe, well punguza matumizi yake.
Nunua dawa inayoitwa nosic tablet huwasaidia wakina mama wajawazito wanapokuwa wanasikia kichefuchefu na kutapika ni combination ya doxylamine succinate 10mg na pyridoxine hcl 10mg.currently situmii dawa yoyote ile
JF kuna watu wa ajabu!!!wanalazimisha kama nina mimba wakati mimi mwenyewe najijua sina.me nilihitaji daktari aliyepo humu JF aniambie ni kitu gani hasa kinanisibu kwa dalili hizi