Cynthia Chriss
JF-Expert Member
- May 27, 2013
- 478
- 240
Heshima yenu jf Doctors!
Jamani naomba munisaidie wapi tatizo.
Kwa muda wa miezi miwili sasa nikisikia harfu kali hasa ya chakula kinachoungwa napata kichefu*2 cha hali ja juu hata perfyumu zenye kunukia vibaya imefikia mahali jikoni wakianza kupika inabidi niende mbali.
Nimetumia na dawa za minyoo lakini symptom still persist .Nini naweza kuwa shida DOCTORS?
CC meningitis measkron @Dr Riwa @Dr Mo @Muprocin grand-mal Kungurumweupe @Dr Wansengamalila
Pole sana, inaweza kuwa wewe ni mjamzito? kama ndio hali hiyo hutokea kwa wengine hivyo inashauriwa kujitahidi kula crackers, na chakula kidogo kidogo, hizo perfumes inabidi kwa sasa uziweke mbali tu mpendwa.
Na mimi leo nimenotice ninakichefuchefu cha kudead person