Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Hii ni video ambayo Nape alifanyiwa mahojiano mwezi wa 2 wakati Bunge likiendelea, kuna wabunge waliokuwa wakianza kusema Magufuli aongezewe muda atake ama asitake.
Sasa maoni ya Nape ni kuwa hawajui kesho ni nani atakuwepo ama hatakuwepo (akimaanisha hata JPM anaweza kudondoka muda wowote) na hata kama watamuongezea bado Mungu atamchukua tu, so solution ilikuwa ni kujenga taasisi imara