Nape aongoza mazishi ya Sharomillionea

Honey K

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2008
Posts
629
Reaction score
72
Cdm sijawaona Nape kaongoza mazishi na eneo zima limepambwa kwa rangi za kijani...kulikoni?
 
Labda hawakupata taarifa za mazishi kuwa yanafanyika lini
 
Ukiua inajishtukia na kujifanya unatoa misaada ya bila kuombwa. Kifupi unajutia.

Unafikiri ubovu wa hizi barabara (ukilinganisha na rasilimali) umesababishwa na nini kama sio hao hao wanaojipendekeza misibani.

"... Mnataka tufe mje msibani..." Unalikumbuka hili bango kipindi cha migomo ya madaktari?
 
Kwanini wakapamba na rangi ya kijani nijuavyo rangi ya zambarau ni ya misiba hawajamtendea haki marehemu (RIP Sharo)
 
Hasira mazishi yanafanyika sehemu ambako walipata kura kiduchu
 
CDM huwezi kuwaona hapo kwa kuwa aliyekufa siyo mwenzao katika imani.

Taratibu ndugu,jaribu kuficha hisia zako za udini huo ni msiba hauchagui.......muombee marehemu inatosha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…