NAPE,aridhishwa na ukusanyaji maoni baraza za katiba

NAPE,aridhishwa na ukusanyaji maoni baraza za katiba

jafary mashaka

New Member
Joined
Aug 6, 2013
Posts
1
Reaction score
0
Hivi kuridhika kunatokana na maoni kukidhi matakwa ya chama?au anaridhishwa na jinsi wajumbe wanavyochangia, au labda ameridhika kuwepo kwa vikwazo dhidi ya wajumbe wameshindwa kujinasibu ktk kutoa maoni kwa uhuru
 
Anarizishwa na jinsi wajumbe wa mabaraza ambao ni wa chama chake walivyokariri vizuri cha kuongea. Kwa hiyo anajipa moyo kwamba rasimu itabadilika kadiri ya matakwa yao. Akumbuke tu watanzania bado tutakuwa na sanduku la kura na hayo mabaraza ni watu chache tu
 
wakuu waacheni wajumbe wa magamba wa mabaraza ya katiba wakaririshwe cha kusema na chama chao. nafurahi kuwa jaji warioba alishasema hakuna kupiga kura kwenye mabaraza. pia jaji warioba hawezi kujivunjia heshima yake ktk jukumu hili la kuandaa ktb. alwayz watu wotf duniani walioaminiwa kuandaa mchakato wa katiba huwa hawapendi waje kulaumiwa baadae. nina hakika km jaji warioba anasoma thread hii atakubaliana nami.
 
Na pia katiba haitengenezwi kwa wingi wa maoni ya kukariri.points ndio kitu cha muhimu kitakachozingatiwa.
 
Back
Top Bottom