Sijapewa username bado
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 1,775
- 2,891
unafiki tu huo hana lolote huyoAkiwa kwenye mahojiano na Podcast ya MS, Nape Nauye Mbunge wa Mtama anaelez kuwa yeye ni muumini wa CCM imara inahitaji upinzani imara na kama upinzani utakuwa dhaifu basi italeta shida kwa CCM.
Nape anaeleza pia kuwa anamkumbuka sana na kutamani uwepo wa Zitto bungeni.
View attachment 3587947
Kwanini Mkuu?unafiki tu huo hana lolote huyo
Goli la mkono na upinzani imara wapi na wapiKwanini Mkuu?
kukosa adabu kwa baadhi ya viongozi wa upinzani kumesababisha upinzani nchini kupotea kabisa πAkiwa kwenye mahojiano na Podcast ya MS, Nape Nauye Mbunge wa Mtama anaelez kuwa yeye ni muumini wa CCM imara inahitaji upinzani imara na kama upinzani utakuwa dhaifu basi italeta shida kwa CCM.
Nape anaeleza pia kuwa anamkumbuka sana na kutamani uwepo wa Zitto bungeni.
View attachment 3587947
We muongo bhana, tupe mfanokukosa adabu kwa baadhi ya viongozi wa upinzani kumesababisha upinzani nchini kupotea kabisa π
wapo wengi tu waliokosa adabu kwa katiba na sheria za nchi na wengine wanasota korokoroni hivi sasa πWe muongo bhana, tupe mfano