Nape awa habari kuu kimataifa: Tanzanian minister sacked after poll rigging remarks

bagamoyo

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2010
Posts
24,941
Reaction score
28,869
Nape Nnauye awa habari kubwa katika vichwa vya habari kimataifa, kutokana na sababu ya kutimuliwa kwake kutoka katika Baraza la Mawaziri

1721668845536.png

Nape Nnauye served as information minister from January 2022​

Tanzania's information minister Nape Nnauye has been removed from his post following an outcry over comments he made suggesting that elections could be rigged.

Mr Nnauye was filmed at a rally on 15 July, saying that he would help a fellow ruling party MP win in the 2025 election.

He added that "election results are not necessarily those in the [ballot box], rather they depend on the person counting and making announcements".

Following a public backlash after a video of his controversial remarks went viral, Mr Nnauye said he had made them in jest.

President Samia Suluhu Hassan sacked him from the cabinet on Sunday as part of a wider reshuffle. She did not give reasons for her decision.

The video, filmed on Mr Nnauye's visit to the northern city of Bukoba, also showed the former minister saying: "Because I'm good at election tricks, I will assist to emerge victorious."

He said there are various methods to ensure a win - "legal, half legal and illegal". "All of them could be used provided after the conclusion you seek God's forgiveness," Mr Nnauye added.

Many Tanzanians criticised the former minister, arguing that he had violated the principles of electoral democracy and did not respect the decision of voters. In his apology, Mr Nnauye said he believed in "free and fair elections".

Mr Nnauye also came under fire during the run up to the 2015 elections, when, using a football analogy, he said the ruling CCM party would win the poll by all means - even if this meant scoring a "handball goal".

CCM - short for Chama cha Mapinduzi - is the one of longest-reigning parties in Africa.

It has been in power since its formation in 1977, with opposition leaders accusing it of winning recent elections through fraud and state repression.

The electoral commission, however, denies that results are rigged.

Mr Nnauye has served CCM "since his primary school days", a biography on the information ministry website says.

He was first appointed as information minister by the late President John Magufuli, before being removed in a reshuffle. President Samia reappointed Mr Nnauye in January 2022.

He will now be replaced by former land and housing development minister Jerry Slaa.

Foreign minister January Makamba has also been sacked, with Tanzania's ambassador to Italy, Mahmoud Thabiti Kombo, chosen as his successor
 
MODERATOR JAMIIFORUMS : Habari hii inajitegemea kimataifa, iwe uzi hapa jukwaa la siasa kuonesha kauli na vitendo vya wanasiasa zinavyobeba taswira ya nchi, mfano Nape Nnauye alivyoipa Tanzania aibu kubwa kufuatia kauli yake nzito kuhusu mfumo wa uchaguzi nchini na jinsi wadau wa maendeleo kimataifa vyombo vyao vilivyobeba maamuzi ya mheshimiwa Rais, :

Nape Nnauye awa habari kubwa katika vichwa vya habari kimataifa, kutokana na sababu ya kutimuliwa kwake kutoka katika baraza la mawaziri
View attachment 3049284
IMAGE SOURCE,MINISTRY OF INFOMATION
Image caption,Nape Nnauye served as information minister from January 2022

  • Author,Florian Kaijage
  • Role,BBC Swahili, Dar es Salaam
  • 3 hours ago
Tanzania's information minister Nape Nnauye has been removed from his post following an outcry over comments he made suggesting that elections could be rigged.

Mr Nnauye was filmed at a rally on 15 July, saying that he would help a fellow ruling party MP win in the 2025 election.

He added that "election results are not necessarily those in the [ballot box], rather they depend on the person counting and making announcements".

Following a public backlash after a video of his controversial remarks went viral, Mr Nnauye said he had made them in jest.

President Samia Suluhu Hassan sacked him from the cabinet on Sunday as part of a wider reshuffle. She did not give reasons for her decision.

The video, filmed on Mr Nnauye's visit to the northern city of Bukoba, also showed the former minister saying: "Because I'm good at election tricks, I will assist to emerge victorious."
He said there are various methods to ensure a win - "legal, half legal and illegal". "All of them could be used provided after the conclusion you seek God's forgiveness," Mr Nnauye added.

Many Tanzanians criticised the former minister, arguing that he had violated the principles of electoral democracy and did not respect the decision of voters.
In his apology, Mr Nnauye said he believed in "free and fair elections".

Mr Nnauye also came under fire during the run up to the 2015 elections, when, using a football analogy, he said the ruling CCM party would win the poll by all means - even if this meant scoring a "handball goal".

CCM - short for Chama cha Mapinduzi - is the one of longest-reigning parties in Africa.

It has been in power since its formation in 1977, with opposition leaders accusing it of winning recent elections through fraud and state repression.

The electoral commission, however, denies that results are rigged.

Mr Nnauye has served CCM "since his primary school days", a biography on the information ministry website says.

He was first appointed as information minister by the late President John Magufuli, before being removed in a reshuffle.
President Samia reappointed Mr Nnauye in January 2022.

He will now be replaced by former land and housing development minister Jerry Slaa.
Foreign minister January Makamba has also been sacked, with Tanzania's ambassador to Italy, Mahmoud Thabiti Kombo, chosen as his successor
Apigwe Marufuku kukanyaga Nchi za Nje
 
Naambiwa hata akaunti yake ya X zamani Twitter kaifunga.

Narudia nilichokisema huko nyuma.

Nape kwa vinyongo vyake binafsi ametumia/alitumia cheo chake kuunga juhudi za wanavinyongo wenzake wa CHADEMA kuishusha na kuidogosha Serikali ya Tanzania inayoongozwa na CCM, kwani kama Waziri aliyekuwa na mamlaka ya mawasiliano na habari nchini, alishindwa kudhibiti Udhalilishishaji, uzodoaji na masimango-UKASHIFU- uliofanywa dhidi ya Mjane na familia ya aliyekuwa Rais wa Tanzania, Hayat Rais John Pombe Magufuli.
=======================
Nape is libelous na kwa hilo, ameifanya na kuiwekaTanzania na Jamii nzima ya Tanzania ikiwa pamoja na mjane wa Hayat Rais Mama Janet Magufuli katika hali ngumu.

Nawashauri Familia ya Hayat imfungulie Kesi ya Udhalilishishaji/kukashifu, kwani, kwa matamshi na maneno yake, amechangia kwa kiasi kikubwa kwa familia hiyo kukashifiwa, kabila la wasukuma kukashifiwa, itoshe sasa na nchi Nzima pamoja na CCM kukashifiwa.

Halikubaliki

Hatahivyo, hata kama amefunga Acct yake huko X Ipo Twitter ya Afrika- Jamiiforums- na yeye yumo humu alaaniwe kwa nguvu zote. Sorry Dogo but you have left in disgrace. Yote mazuri uliyoyafanyia Tasnia ya habari na mwasailiano yatapukutika kwa vinyongo vyako Binafsi.
 
Apigwe Marufuku kukanyaga Nchi za Nje

Mambo ya kuvuruga chaguzi, kutekwa wapinzani, kesi za mchongo n.k chama dola kongwe CCM kinadhani habari hizo hazivuki Mipaka ya nchi yetu, kumbe siyo kweli habari hizo zimetapakaa katika dunia hii iliyo kijiji kiganjani.

CCM na serikali yake wajisahihishe kukomesha utekaji wa wapinzani, raia ikiwa inataka jina na heshima ya nchi isichafuliwe kwa kuruhusu chawa na watu wanaosemekana hawajulikani kufanya uovu wao.
 
Mungu wabariki Wazungu
 
Geneva, Switzerland

View: https://m.youtube.com/watch?v=_0CF_6_FhXA

Mr. Nape Moses Nnauye, Minister, Ministry of Information, Communication and Information Technology (MICIT), Tanzania (United Republic of) interviewed at WSIS +20 FORUM HIGH-LEVEL EVENT 2024 in Geneva, Switzerland. The WSIS+20 Forum High-Level Event from 27 to 31 May 2024, commemorates two decades since the World Summit on the Information Society established a global framework for digital cooperation, aiming ...
 
Baafda ya muda wanamrudisha. CCM wanacheza na akili za watanzania na sijui kwanini hatuijifunzi.
Enzi zimebadilka usiwe mtumwa wa Historia
Mama Samia anajaribu kujenga image nzuri ya nchi kuanzia kwenye chaguzi huru za tume zingatia sheria na uwanja sawa mtu anakuja kuharibu hiyo image ambayo Mama Samia anahangaika kuijenga kuwa ohh Mama Samia muongo hakuna cha uchaguzi huru wala nini kuna magoli ya mkono na inategemea anayetangaza sio kura zilizopigwa

Ina maana anambeza Raisi kuwa muongo kila anapongea kuwa chaguzi zitakuwa huru na haki kuwa ni muongo mkubwa

Raisi Samia akimrudisha hata ubunge nitamshangaa tena sana tu
 
Kama ni hivyo Huyo Samia Wako mbona anaogopa Tume Huru na Katiba Mpya?
 
Tume huru na Katiba mpya ni maneno ya watu wanaoshindwa kufikiri tu.

Kwani hiyo "tume huru" inaundwa na malaika aua katiba inaandikwa na malaika?

Chadomo kwenyewe tunapona watu wananuliwa kama nyanya, kwa mafungu.
 
Wewe bibi Kapuku tulia!
 
Back
Top Bottom