Muulize hilo swali yaonekana wewe ndio mwenye shida na màana walaka huo umekukuna.Upinzani wa Tanzania mashaka sana Huyu Nape kwao Leo mzuri sana. wqmesahau goli la mkono na bunge live.na kelele zao zote wqmesahau wanatamani.Leo awe kwao watasubili sana. wqjipange kivingine si kwa Nape.Ujumbe huo unasema: Nyani waliposikia kuwa aliyekuwa akiwafukuza wasile mahindi amekufa, walishangilia sana. Mwaka uliofuata walipata njaa kali maana hakukuwa na mahindi. Ndipo walipogundua kuwa mtu aliyekufa ndiye alikuwa mkulima. Ujumbe: Jifunze kuishi na adui yako maana anaweza akawa ndiye nguzo pekee ya maisha yako.”
Chanzo gazeti mwananchi.
Unahisi Nape anataka kufikisha ujumbe gani kwa taifa lake hasa kwa watu wanaotaka Lisu aendelee kuumizwa baada ya kuumizwa kwa kuwa tu yeye sio mwanafamilia wa ukoo wa nyani?
Lissu ndio mkulima na manyani ni CCM. Huu ni ujumbe wao.Ujumbe huo unasema: Nyani waliposikia kuwa aliyekuwa akiwafukuza wasile mahindi amekufa, walishangilia sana. Mwaka uliofuata walipata njaa kali maana hakukuwa na mahindi. Ndipo walipogundua kuwa mtu aliyekufa ndiye alikuwa mkulima. Ujumbe: Jifunze kuishi na adui yako maana anaweza akawa ndiye nguzo pekee ya maisha yako.”
Chanzo gazeti mwananchi.
Unahisi Nape anataka kufikisha ujumbe gani kwa taifa lake hasa kwa watu wanaotaka Lisu aendelee kuumizwa baada ya kuumizwa kwa kuwa tu yeye sio mwanafamilia wa ukoo wa nyani?