Elections 2015 Nape: Fisadi akipitishwa na CCM nitaongoza kundi la vijana kumpinga

Nape akisema 10 usishike hata moja. Huyu siye aliyekuja na kauli mbiu ya "Kujivua Gamba"? Nani alijivua? Badala yake watu "Wakavaa Ngao" na "kuwaesrow" Watanzania.
Langu Jicho.
 
nape muongo......angemtaja ila watu wasijitokeze kumzani.....walewale
 
Tayari wanawajua mafisadi nape ameanza vitisho mgogoro wa jengo la vijana morogoro road dsm kulikuwa na mkono wa fisadi katika kuboresha jengo hilo si kumbuki vizuri !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…