Uchaguzi 2020 Nape: Hamna haja ya goli la mkono lakini tusisahau pia VAR ya upinzani ni mbovu

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2015
Posts
6,661
Reaction score
21,656
Namsikiliza hapa Nape Nnauye anafanya mahojiano na redio ya jamii MAENDELEO FM.

Nape ameulizwa kama CCM itatumia goli LA mkono kwenye uchaguzi huu .

Nape: Uchaguzi huu ni mwepesi sana kwa CCM hata hamna haja ya goli la mkono hata kama tungehitaji goli la mkono VAR ya upinzani ni mbovu kabisa na screen yake imevunjika.
 
Huu uchaguzi ni simple sana kwa CCM.

Naamini wakubwa wenzangu watanisapport kwa hili.

1.Upinzani wa Mrema.

2.Upinzani wa Dkt. slaa.

3.Upinzani wa Lowassa.

Hapa watoto hawawezi elewa hata kidogo, Ndio maana wanapagawa na TUNDU.
Mwanzo nilikuwa nahisi kama wewe ila nikiona upinzani unavyowekewa vikwazo naona kabisa kuna kitu ccm hawakukitegemea sasa kinawakera
 
Huu uchaguzi ni simple sana kwa CCM.

Naamini wakubwa wenzangu watanisapport kwa hili.

1.Upinzani wa Mrema.

2.Upinzani wa Dkt. slaa.

3.Upinzani wa Lowassa.

Hapa watoto hawawezi elewa hata kidogo, Ndio maana wanapagawa na TUNDU.
You living in Nostalgia brother,

Hivi kuna mpinzani aliwahi penya mkono wa chuma kama Lissu?
Mrema, Slaa, Lowasa walipigwa risasi mara ngapi? vipi uhuru wa media kipindi hicho, vip uwepo wa makada hadi NEC ulikuwaje those ole days...

CCM imejificha kwenye kichaka cha wazi mno...
 
Enzi zile Mrema aliitwa rais wa walalahoi watu walikuwa wanasukuma gari lake kwa mikono, sijui nini kilipita pale magabachori waliponea chupuchupu. Historia ni mwalimu mzuri sana katika maisha
 
You living in Nostalgia brother,

Hivi kuna mpinzani aliwahi penya mkono wa chuma kama Lissu?
Mrema, Slaa, Lowasa walipigwa risasi mara ngapi? vipi uhuru wa media kipindi hicho, vip uwepo wa makada hadi NEC ulikuwaje those ole days...

CCM imejificha kwenye kichaka cha wazi mno...
Wanajipa moyo

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 
You living in Nostalgia brother,

Hivi kuna mpinzani aliwahi penya mkono wa chuma kama Lissu?
Mrema, Slaa, Lowasa walipigwa risasi mara ngapi? vipi uhuru wa media kipindi hicho, vip uwepo wa makada hadi NEC ulikuwaje those ole days...

CCM imejificha kwenye kichaka cha wazi mno...
Kumbe upande wenu..Kupigwa risasi ni moja sifa kubwa ya kiongozi bora katika nchi.hahaha!

Endapo unajua sifa za kiongozi bora hata ngazi ya serikali za mtaa hapo ndipo atleast utajua tunazungumza nini!
 
Huu uchaguzi ni simple sana kwa CCM.

Naamini wakubwa wenzangu watanisapport kwa hili.

1.Upinzani wa Mrema.

2.Upinzani wa Dkt. slaa.

3.Upinzani wa Lowassa.

Hapa watoto hawawezi elewa hata kidogo, Ndio maana wanapagawa na TUNDU.
Alichosahau ni hao watatu wote wana background ya CCM ! Ila jamaa hana mvuto kabisa mpaka waliitana washamba!
 
Namsikiliza hapa Nape Nnauye anafanya mahojiano na redio ya jamii MAENDELEO FM.
Nape ameulizwa kama CCM itatumia goli LA mkono kwenye uchaguzi huu .
Nape: Uchaguzi huu ni mwepesi sana kwa CCM hata hamna haja ya goli la mkono hata kama tungehitaji goli la mkono VAR ya upinzani ni mbovu kabisa na screen yake imevunjika.
Hahahaaaa.......... hivi Nape ni mwislamu kweli?!
 
Huu uchaguzi ni simple sana kwa CCM.

Naamini wakubwa wenzangu watanisapport kwa hili.

1.Upinzani wa Mrema.

2.Upinzani wa Dkt. slaa.

3.Upinzani wa Lowassa.
7
Hapa watoto hawawezi elewa hata kidogo, Ndio maana wanapagawa na TUNDU.
Kwa taarifa yako ccm hawalali kwa sababu ya huu ugonjwa unaoitwa Tundu Lissu
 
Alichosahau ni hao watatu wote wana background ya CCM ! Ila jamaa hana mvuto kabisa mpaka waliitana washamba!
Ndio hapa nasema ya kuwa ule ndio uchaguzi ulikuwa tough sana kwa sababu baadhi ya wagombea hasa Lowassa alikuwa anajua indoor systems za CCM hata zile za kuiba kura "kama alivyosema". Hii experience ilikuwa na advantage sana upande wake.

Lakini Huyu T. Lissu anatrend tu kwa blaah blaah zake..Leo ametoa tamko hili,kesho lile.
Na ameshindwa kabisa kuwashawishi wananchi wampigie kura, Zaidi zaidi kila siku inayoenda kwa Mungu wameaanza kumtambua Lissu ni Mtu wa namna gani.

For sure anazidi poteza ile popularity, influence/huruma yake.
watu wanazidi kumuona ni wa kawaida kabisa masikioni wao kama mropokaji tu.

Hili Jambo mtakuja kuamini baada ya october 28 endapo M/Mungu akatusaidia tukapiga kura salama.
Na naombea sana Upinzani wasiususie huu "Uchaguzi".
 
Eti walidai safari ni kusalimia tu, walichokutana nacho hawaamini,

Mwenyekiti hadi anazomewa, anapiga magoti kuomba kura na Jana anapayuka hovyo kama kichaa Kawe huko, wanaume wanaosha mpaka masufuria na kuchambua Mchele[emoji3]

CCM bila polisi na NEC ni wepesi kama unyoya!
 
Ndio hapa nasema ya kuwa ule ndio uchaguzi ulikuwa tough sana kwa sababu baadhi ya wagombea hasa Lowassa alikuwa anajua indoor systems za CCM hata zile za kuiba kura "kama alivyosema". Hii experience ilikuwa na advantage sana upande wake.

Lakini Huyu T. Lissu anatrend tu kwa blaah blaah zake..Leo ametoa tamko hili,kesho lile.
Na ameshindwa kabisa kuwashawishi wananchi wampigie kura, Zaidi zaidi kila siku inayoenda kwa Mungu wameaanza kumtambua Lissu ni Mtu wa namna gani.

For sure anazidi poteza ile popularity, influence/huruma yake.
watu wanazidi kumuona ni wa kawaida kabisa masikioni wao kama mropokaji tu.

Hili Jambo mtakuja kuamini baada ya october 28 endapo M/Mungu akatusaidia tukapiga kura salama.
Na naombea sana Upinzani wasiususie huu "Uchaguzi".
Kwanini CCM hamtaki kabisa kusikia tume huru ya uchaguzi! Ambayo CCM haina mkono wake mle?
 
Hizo statement zake zinamaanisha wamezoea na ni kawaida yao kupiga goli la mkono...inamaana wao ni madikteta
kwamaana hiyo chaguzi zilizopita hawakushinda kwa halali.

hizo statement zinaweza kuwafunga.
Angekuwa na akili angekana kama chama kinaweza/kilishawahi kutumia goli la mkono..lakini ndo hivyo bana bongo viongozi mbumbumbu na raia mbumbumbu square na ndo mtaji wao huo
 
Back
Top Bottom