MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
Mwanzo nilikuwa nahisi kama wewe ila nikiona upinzani unavyowekewa vikwazo naona kabisa kuna kitu ccm hawakukitegemea sasa kinawakeraHuu uchaguzi ni simple sana kwa CCM.
Naamini wakubwa wenzangu watanisapport kwa hili.
1.Upinzani wa Mrema.
2.Upinzani wa Dkt. slaa.
3.Upinzani wa Lowassa.
Hapa watoto hawawezi elewa hata kidogo, Ndio maana wanapagawa na TUNDU.
You living in Nostalgia brother,Huu uchaguzi ni simple sana kwa CCM.
Naamini wakubwa wenzangu watanisapport kwa hili.
1.Upinzani wa Mrema.
2.Upinzani wa Dkt. slaa.
3.Upinzani wa Lowassa.
Hapa watoto hawawezi elewa hata kidogo, Ndio maana wanapagawa na TUNDU.
Enzi zile Mrema aliitwa rais wa walalahoi watu walikuwa wanasukuma gari lake kwa mikono, sijui nini kilipita pale magabachori waliponea chupuchupu. Historia ni mwalimu mzuri sana katika maishaHuu uchaguzi ni simple sana kwa CCM.
Naamini wakubwa wenzangu watanisapport kwa hili.
1.Upinzani wa Mrema.
2.Upinzani wa Dkt. slaa.
3.Upinzani wa Lowassa.
Hapa watoto hawawezi elewa hata kidogo, Ndio maana wanapagawa na TUNDU.
Wanajipa moyoYou living in Nostalgia brother,
Hivi kuna mpinzani aliwahi penya mkono wa chuma kama Lissu?
Mrema, Slaa, Lowasa walipigwa risasi mara ngapi? vipi uhuru wa media kipindi hicho, vip uwepo wa makada hadi NEC ulikuwaje those ole days...
CCM imejificha kwenye kichaka cha wazi mno...
Kumbe upande wenu..Kupigwa risasi ni moja sifa kubwa ya kiongozi bora katika nchi.hahaha!You living in Nostalgia brother,
Hivi kuna mpinzani aliwahi penya mkono wa chuma kama Lissu?
Mrema, Slaa, Lowasa walipigwa risasi mara ngapi? vipi uhuru wa media kipindi hicho, vip uwepo wa makada hadi NEC ulikuwaje those ole days...
CCM imejificha kwenye kichaka cha wazi mno...
Alichosahau ni hao watatu wote wana background ya CCM ! Ila jamaa hana mvuto kabisa mpaka waliitana washamba!Huu uchaguzi ni simple sana kwa CCM.
Naamini wakubwa wenzangu watanisapport kwa hili.
1.Upinzani wa Mrema.
2.Upinzani wa Dkt. slaa.
3.Upinzani wa Lowassa.
Hapa watoto hawawezi elewa hata kidogo, Ndio maana wanapagawa na TUNDU.
Hahahaaaa.......... hivi Nape ni mwislamu kweli?!Namsikiliza hapa Nape Nnauye anafanya mahojiano na redio ya jamii MAENDELEO FM.
Nape ameulizwa kama CCM itatumia goli LA mkono kwenye uchaguzi huu .
Nape: Uchaguzi huu ni mwepesi sana kwa CCM hata hamna haja ya goli la mkono hata kama tungehitaji goli la mkono VAR ya upinzani ni mbovu kabisa na screen yake imevunjika.
Kwa taarifa yako ccm hawalali kwa sababu ya huu ugonjwa unaoitwa Tundu LissuHuu uchaguzi ni simple sana kwa CCM.
Naamini wakubwa wenzangu watanisapport kwa hili.
1.Upinzani wa Mrema.
2.Upinzani wa Dkt. slaa.
3.Upinzani wa Lowassa.
7
Hapa watoto hawawezi elewa hata kidogo, Ndio maana wanapagawa na TUNDU.
Ndio hapa nasema ya kuwa ule ndio uchaguzi ulikuwa tough sana kwa sababu baadhi ya wagombea hasa Lowassa alikuwa anajua indoor systems za CCM hata zile za kuiba kura "kama alivyosema". Hii experience ilikuwa na advantage sana upande wake.Alichosahau ni hao watatu wote wana background ya CCM ! Ila jamaa hana mvuto kabisa mpaka waliitana washamba!
Huu uchaguzi ni simple sana kwa CCM.
Naamini wakubwa wenzangu watanisapport kwa hili.
1.Upinzani wa Mrema.
2.Upinzani wa Dkt. slaa.
3.Upinzani wa Lowassa.
Hapa watoto hawawezi elewa hata kidogo, Ndio maana wanapagawa na TUNDU.
Kwanini CCM hamtaki kabisa kusikia tume huru ya uchaguzi! Ambayo CCM haina mkono wake mle?Ndio hapa nasema ya kuwa ule ndio uchaguzi ulikuwa tough sana kwa sababu baadhi ya wagombea hasa Lowassa alikuwa anajua indoor systems za CCM hata zile za kuiba kura "kama alivyosema". Hii experience ilikuwa na advantage sana upande wake.
Lakini Huyu T. Lissu anatrend tu kwa blaah blaah zake..Leo ametoa tamko hili,kesho lile.
Na ameshindwa kabisa kuwashawishi wananchi wampigie kura, Zaidi zaidi kila siku inayoenda kwa Mungu wameaanza kumtambua Lissu ni Mtu wa namna gani.
For sure anazidi poteza ile popularity, influence/huruma yake.
watu wanazidi kumuona ni wa kawaida kabisa masikioni wao kama mropokaji tu.
Hili Jambo mtakuja kuamini baada ya october 28 endapo M/Mungu akatusaidia tukapiga kura salama.
Na naombea sana Upinzani wasiususie huu "Uchaguzi".