Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Waziri wa Mawasiliano Nape Nnauye amesema ubaya uliopo ni kuwa wanaohitaji katiba Mpya wanahitaji kwa kudai badala ya kuwa na majadiliano kati yao na serikali. Katiba Mpya ni majadiliano katika wadau wote, isionekane kuna mtu anadai, kumdai mwingine.
Amesema hakuna asiyehitaji katiba mpya, watu wote wanataka katiba mpya kwa kuwa kila mmoja anahitaji maisha bora hata yeye anahitaji katiba mpya
Ameyasema hayo katika kipindi cha Dakika 45 ITV, Jumatatu, Machi 6, 2023. Katika kuzungumzia suala la mitandao kuzimwa amesema wala serikali haikuzima mtandao wa ClubHouse.