Pre GE2025 Nape hatanii, ushahidi huu hapa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
 
Dunia sio paradiso. Unaweza kuwa unapambana sana kutafuta kipato halali kwa jasho lako mwenyewe lakini ukakumbana na majambazi wakakudhuru au hata kukuua kwa lengo la kukupora hiyo hiyo halali yako mwenyewe.

Ujamaa aliondoka nao mwalimu Nyerere.
Kwa maneno marahisi unataka kuhalalisha kupata nafasi kwa kupora.
 
Hayo ni maneno ya kejeli kutoka Kwa Mama yenu..........

Hivi wao wanaojiita Wana uzoefu wa kuongoza, uzoefu wenyewe ndiyo huo wa kuiba kura Kwa kutumia vyombo vya Dola vya Polisi??
Nimeshangaa na Faiza Foxy anayejitanabaisha kama mwana Maadili anashangilia upuuzi kama huo.

Kumbe walimchukia Magufuli kwa sababu binafsi tu ila hawakuwa kwa sababu ya Uadilifu.
 
Hayo ni maneno ya kejeli kutoka Kwa Mama yenu..........

Hivi wao wanaojiita Wana uzoefu wa kuongoza, uzoefu wenyewe ndiyo huo wa kuiba kura Kwa kutumia vyombo vya Dola vya Polisi??
Hayo ni malalamiko ya mwizi. Mwizi kila afanyalo anaona anaibiwa tu.

Siasa ni sayansi. Hivi Mbowe alifaulu japo somo mojawapo la sayansi?

Hapo sasa.
 
Ndio maana watanzania tutaendelea kuwa mafukara mpaka tujitambue kama Kenya.

Alichokisema NAPE ndicho alichofanya shujaa katika uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu wa 2020 na kujinyakulia asilimia 99 ya kura zoooote hahaha.

Ni laana awa majamaa
 
Kwa nini vyombo vya ulinzi na usalama havichunguzi kauli kama hizi. Kwa nini

jibu ni kuwa huko wamejaa wenye kadi za chama. Ngumu kujiharibia ulaji
Tatizo mpaka wakuu wa vyombo vya usalama wameteuliwa na raisi ambae pia ni mwenyekiti wa ccm . Kwahiyo inawezekana hayo anayoyasema kayatoa kwenye chama chao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…