Nape: Hatuna mpango wa kufungia VPN

Nape: Hatuna mpango wa kufungia VPN

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191
Waziri wa Mawasiliano, Nape Nnauye amesema amesikia uvumi ya kuwa serikali ina mpango wa kuzuia VPN, amesema suala hilo haliwezekani, wala serikali haina mpango huo

Hata hivyo, amesema mtu akikutwa amefanya kosa la kimtandao huku akitumia VPN atahukumiwa kwa makosa hayo. Kwasasa hakuna sheria inayojinaisha matumizi ya VPN.

Amesema kwa sasa serikali imezuia picha za ngono, kama kuna mtu anatumia VPN kuzipata picha hizo shauri yake.
 
Porno hata mie naunga mkono! watoto wanatoroka shule wanajificha kuangalia porn
 
NAPE fungulieni PornHub watu waburudike.
 
Back
Top Bottom