Nape hivi wakati unakula njama kuminya Uhuru wa Habari nchini ulidhani nchi ni shamba la ukoo?

Missile of the Nation

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2018
Posts
15,101
Reaction score
56,054
Kama kuna watu wameshiriki kikamilifu kuminya uhuru wa habari nchini ni Nape Nnauye. Na Watanzania hawasahau, wametunza kumbukumbu na ndiyo maana wamemfuta katika watu wanaowaona ni viongozi

1. Nape alishiriki kikamilifu katika kufuta bunge live

Leo hii Watanzania kwa kiasi kikubwa wameachana kabisa kufuatilia mambo ya nchi yao, Kuangalia bunge kwao ni kupoteza muda, sababu mojawapo ni kuwa katika kipindi ambacho walikuwa katika mwamko wa hali ya juu ya kufuatilia mambo ya nchi yao , Wasuka mipango Nape akiwemo wakaona njia nzuri ya kudhibiti mwamko wa wananchi ni kuwadiscourage kwa kublackout bunge live. Umma unakumbuka jinsi Nape alivyosimama bungeni kujenga hoja kuwa Kuangalia Bunge live ni kupoteza muda wananchi!. Na kweli Watanzania wakaachana na mambo ya bunge, wamepoteza interest na mambo ya siasa, wamehamia sasa kwenye Mpira. Sijui Nape kama amewahi kukaa chini na kujiuliza damage aliyoifanya kwa kitenfo chake hicho. Miaka michache baadae bunge live lilivyorudishwa halina mvuto na watu wameshaachana nalo

2. Suala la vifurushi vya Internet

Wakati umma ukipiga kelele gharama ghali za vifurushi vya Internet, Nape yeye kwa wivu mkubwa alikuwa akitetea makampuni ya Simu, Nape hajawahi kusimama na wananchi hata kidogo kwenye ishu ya gharama za Internet. Matokeo yake leo hii Tanzania kama hujaweka Bando ya 10000 kwa siku huwezi kukaa mtandaoni Ukijisomea vitu vya maana kwa muda wa masaa yanayofika matano consecutively bila kuambiwa bando limeisha!. Leo hii Watanzania wanapewa vibando vya kuwawezaesha kuingia Instagram, Facebook, Tiktok na vimtandao vingine uchwara lakini siyo bando la kuweza kupakia na kupakuwa information za maana zinszoinvolve Let say Video za Kijifunza maana hizo zinahitaji GB nyingi, na kutokana na ughali wa Internet watanzania wengi hawawezi kuzimudu, ndiyo maana uwezo wao wa kuaccess Internet unaishia Facebook. Sasa kwa dunia ya leo kama Una Taifa lisiloweza kuaccess dunia sababu ya Ughali wa Internet unategemea utakuwa na Taifa litakalocompete na watu wa mataifa mengine wenye access ya Taarifa?. Tanzania Internet ya maana imegeuka ya elites wenye kumudu gharama kubea, ila wabongo wengi wanaachiwa vi MB vichache vya kuwawezesha kuingia whatsapp na Facebook ambapo huwezi kufanya lolote la maana kujijengea capacity kwa vi MB hivyo vichache.

3. Kufungia mtandao wa Clubhouse nchini.

Nape alidhani kwa kufungia mtandao wa Clubhouse basi anailinda serikali dhidi ya mwamko wa Watanzania unaoweza kupayikana kutokana na mtandao huo. Lakini huo ulikuwa ni mtizamo finyu, hauna tofauti na mtizamo wa kufungia bunge live. Kule clubhouse kuna mijadala mizuri sana, ya kisiasa, kiuchumi, kijamii n.k. Kufungia mtandao kama ule eti kisa unaudhi wakubwa unawanyima Watanzania wengi exposure ya wenzao ambao wanajua hili na lile. Sasa labda nimuulize Nape ingemfaa nini CCM ikaendelea kutawala lakini ikatawala watu mbumbumbu wasio na taarifa, wasiojua watu wrngine duniani wanaishije?.

4. Sasa ndugu yangu Nape, umeshiriki kusuka mtego wa Panya leo na wewe una hatari ya kunaswa na mtego huo

Mkiwa na vyeo huwa mnadhani nchi ni shamba la ukoo, na ukoo wenyewe ni viongozi na watawala, huwa mnakula njama zote kuhakikisha mnatawala kwa njia yoyote ikiwemo hata "Imbecilization of the mass". Mko tayari kuzima nuru ya uelewa, na mwamko wa umma ili muendelee kuongoza mbumbumbu. As long as mnaendelea kutanua na kuvimba kwenye Ma VX yenu basi hamfikirii kesho. Hamjali Taifa la kesho na watu wake watakuwaje. Sasa leo ndugu Nape upo nje ya Game, Unajisikiaje kwa jinsi ulivyotumia Jitihada nyingi ili Watanzania Wasipate "Taarifa za kutosha" ili waendelee kuwa bongo lala?.
Sina Shaka mipesa unayo, ila huna heshima, na utumishi wako hauwezi kukumbukwa kwa sababu badala ya kutetea Umma upate nafuu kwenye Internet wewe uliside na upande unaotaka watanzania wasipate taarifa za kutosha kupitia uminywaji wa upatikanaji wa Internet ya kutosha kwa wananchi.
 
Wakati umma ukipiga kelele gharama ghali za vifurushi vya Internet, Nape yeye kwa wivu mkubwa alikuwa akitetea makampuni ya Simu, Nape hajawahi kusimama na wananchi hata kidogo kwenye ishu ya gharama za Internet. Matokeo yake leo hii Tanzania kama hujaweka Bando ya 10000 kwa siku huwezi kukaa mtandaoni Ukijisomea vitu vya maana kwa muda wa masaa yanayofika matano consecutively bila kuambiwa bando limeisha!. Leo hii Watanzania wanapewa vibando vya kuwawezaesha kuingia Instagram, Facebook, Tiktok na vimtandao vingine uchwara lakini siyo bando la kuweza kupakia nakupakuwa information za maana zinszoinvolve Let say Video za Kijifunza maana hizo zinahitaji GB nyingi, na kutokana na ughali wa Internet watanzania wengi hawawezi kuzimudu, ndiyo maana uwezo wao wa kuaccess Internet unaishia Facebook. Sasa kwa dunia ya leo kama Una Taifa lisiloweza kuaccess dunia sababu ya Ughali wa Internet unategemea utakuwa na Taifa litakalocompete na watu wa mataifa mengine wenye accessya Taarifa?

3. Kufungia mtandao wa Clubhouse nchini.

Nape alidhani kwa kufungia mtandao wa Clubhouse basi anailinda serikali dhidi ya mwamko wa Watanzania unaoweza kupayikana kutokana na mtandao huo. Lakini huo ulikuwa ni mtizamo finyu, hauna tofauti na mtizamo wa kufungia bunge live. Kule clubhouse kuna mijadala mizuri sana, ya kisiasa, kiuchumi, kijamii n.k. Kufungia mtandao kama ule eti kisa unaudhi wakubwa unawanyima Watanzania wengi exposure ya wenzao ambao wanajua hili na lile. Sasa labda nimuulize Nape ingemfaa nini CCM ikaendelea kutawala lakini ikatawala watu mbumbumbu wasio na taarifa, wasiojua watu wrngine duniani wanaishije?.

4. Sasa ndugu yangu Nape, umeshiriki kusuka mtego wa Panya leo na wewe una hatari ya kunaswa na mtego huo

Mkiwa na vyeo huwa mnadhani nchi ni shamba la ukoo, na ukoo wenyewe ni viongozina watawala, huwa mnakula njama zote kuhakikisha mnatawala kwa njia yoyote ikiwemo hata "Imbecilization of the mass". Mko tayari kuzima nuru ya uelewa, na mwamko wa umma ili muendelee kuongoza mbumbumbu. As long as mnaendelea kutanua na kuvimba kwenye Ma VX yenu basi hamfikirii kesho. Hamjali Taifa la kesho na watu wake watakuwaje. Sasa leo ndugu Nape upo nje ya Game, Unajisikiaje kwa jinsi ulivyotumia Jitihada nyingi ili Watanzania Wasipate "Taarifa za kutosha" ili waendelee kuwa bongo lala?.
Sina Shaka mipesa unayo, ila huna heshima, na utumishi wako hauwezi kukumbukwa kwa sababu badala ya kutetea Umma upate nafuu kwenye Internet wewe uliside na upande unaotaka watanzania wasipate taarifa za kutosha kupitia uminywaji wa upatikanaji wa Internet ya kutosha kwa wananchi.
Nape ni Miongoni mwa wa-Tanzania ambao ni "chumia tumbo," wapo kujipendekeza kwa Watawala wa CCM ili kujinufaisha binafsi.

Kwa akili zako hivi Unafikiri Nape alipoenda Ikulu kumuonba msamaha Rais Magufuli unafikiri kweli ilikuwa ni kwa ridhaa yake kutoka moyoni mwake kwa kusukumwa na uzalendo wa kutaka kuwahudumia wa-Tanzania au ilikuwa ni kwa sababu za kusukumwa kutokana na njaa Kali aliyonayo???
 
Kama kuna watu wameshiriki kikamilifu kuminya uhuru wa habari nchini ni Nape Nnauye. Na Watanzania hawasahau, wametunza kumbukumbu na ndiyo maana wamemfuta katika watu wanaowaona ni viongozi

1. Nape alishiriki kikamilifu katika kufuta bunge live

Leo hii Watanzania kwa kiasi kikubwa wameachana kabisa kufuatilia mambo ya nchi yao, Kuangalia bunge kwao ni kupoteza muda, sababu mojawapo ni kuwa katika kipindi ambacho walikuwa katika mwamko wa hali ya juu ya kufuatilia mambo ya nchi yao , Wasuka mipango Nape akiwemo wakaona njia nzuri ya kudhibiti mwamko wa wananchi ni kuwadiscourage kwa kublackout bunge live. Umma unakumbuka jinsi Nape alivyosimama bungeni kujenga hoja kuwa Kuangalia Bunge live ni kupoteza muda wananchi!. Na kweli Watanzania wakaachana na mambo ya bunge, wamepoteza interest na mambo ya siasa, wamehamia sasa kwenye Mpira. Sijui Nape kama amewahi kukaa chini na kujiuliza damage aliyoifanya kwa kitenfo chake hicho. Miaka michache baadae bunge live lilivyorudishwa halina mvuto na watu wameshaachana nalo

2. Suala la vifurushi vya Internet

Wakati umma ukipiga kelele gharama ghali za vifurushi vya Internet, Nape yeye kwa wivu mkubwa alikuwa akitetea makampuni ya Simu, Nape hajawahi kusimama na wananchi hata kidogo kwenye ishu ya gharama za Internet. Matokeo yake leo hii Tanzania kama hujaweka Bando ya 10000 kwa siku huwezi kukaa mtandaoni Ukijisomea vitu vya maana kwa muda wa masaa yanayofika matano consecutively bila kuambiwa bando limeisha!. Leo hii Watanzania wanapewa vibando vya kuwawezaesha kuingia Instagram, Facebook, Tiktok na vimtandao vingine uchwara lakini siyo bando la kuweza kupakia na kupakuwa information za maana zinszoinvolve Let say Video za Kijifunza maana hizo zinahitaji GB nyingi, na kutokana na ughali wa Internet watanzania wengi hawawezi kuzimudu, ndiyo maana uwezo wao wa kuaccess Internet unaishia Facebook. Sasa kwa dunia ya leo kama Una Taifa lisiloweza kuaccess dunia sababu ya Ughali wa Internet unategemea utakuwa na Taifa litakalocompete na watu wa mataifa mengine wenye access ya Taarifa?. Tanzania Internet ya maana imegeuka ya elites wenye kumudu gharama kubea, ila wabongo wengi wanaachiwa vi MB vichache vya kuwawezesha kuingia whatsapp na Facebook ambapo huwezi kufanya lolote la maana kujijengea capacity kwa vi MB hivyo vichache.

3. Kufungia mtandao wa Clubhouse nchini.

Nape alidhani kwa kufungia mtandao wa Clubhouse basi anailinda serikali dhidi ya mwamko wa Watanzania unaoweza kupayikana kutokana na mtandao huo. Lakini huo ulikuwa ni mtizamo finyu, hauna tofauti na mtizamo wa kufungia bunge live. Kule clubhouse kuna mijadala mizuri sana, ya kisiasa, kiuchumi, kijamii n.k. Kufungia mtandao kama ule eti kisa unaudhi wakubwa unawanyima Watanzania wengi exposure ya wenzao ambao wanajua hili na lile. Sasa labda nimuulize Nape ingemfaa nini CCM ikaendelea kutawala lakini ikatawala watu mbumbumbu wasio na taarifa, wasiojua watu wrngine duniani wanaishije?.

4. Sasa ndugu yangu Nape, umeshiriki kusuka mtego wa Panya leo na wewe una hatari ya kunaswa na mtego huo

Mkiwa na vyeo huwa mnadhani nchi ni shamba la ukoo, na ukoo wenyewe ni viongozi na watawala, huwa mnakula njama zote kuhakikisha mnatawala kwa njia yoyote ikiwemo hata "Imbecilization of the mass". Mko tayari kuzima nuru ya uelewa, na mwamko wa umma ili muendelee kuongoza mbumbumbu. As long as mnaendelea kutanua na kuvimba kwenye Ma VX yenu basi hamfikirii kesho. Hamjali Taifa la kesho na watu wake watakuwaje. Sasa leo ndugu Nape upo nje ya Game, Unajisikiaje kwa jinsi ulivyotumia Jitihada nyingi ili Watanzania Wasipate "Taarifa za kutosha" ili waendelee kuwa bongo lala?.
Sina Shaka mipesa unayo, ila huna heshima, na utumishi wako hauwezi kukumbukwa kwa sababu badala ya kutetea Umma upate nafuu kwenye Internet wewe uliside na upande unaotaka watanzania wasipate taarifa za kutosha kupitia uminywaji wa upatikanaji wa Internet ya kutosha kwa wananchi.
Umesahau ingine: Elon Musk alitaka kuleta internet ya nafuu au bure; Nape akaminya.
 
Asanteeeee!!! 😀
 
Leo watanzania wanapewa vi MB vichache vya kusalimiana, vya kuingia insta. lakinj ukitaka GB za kutosha ili ujisomee upate maarifa watanzania wengi hawawezi kumudu gharama. Hii yote ni kwa sababu viogozi kama akina Nape wao badala ya kuwapambania wananchi wapate unafuu wao akili yao inawaza namna ya kuwalimit zaidi ili "wasijanjaruke".

Shame!
 
🤣🤣🤣
 
Hakika mnafiki hatakufa bila kupata malipo yake ya unafiki hapahapa duniani
 
Back
Top Bottom