Nimekumbuka kuna siku tuliambiwa kuna mawaziri wanalipa watu wamtukane Mama mitandaoni. Wakati ule upepo wa matusi ulivuma sana kwa muda mfupi kisha ukazima
Naamini mfumo ulifanyia kazi maelekezo ya mwenye nchi kuona tatizo lipo wapi. Je haiwezekani ripoti imetoka na mapendekezo ya ripoti husika yanaendelea?
Baada ya ripoti hii kutoka wengine waliopo nyuma ya skendo hizi ni wakina nan?
Ukivuka mto kwa kutumia daraja, kamwe usidharau ubora wa daraja. Hakikisha wengi wanapita hapo kabla hujaamua kulibomoa na kupanga kujenga daraja lingine.