Wako kwenye NO REFORMS NO ELECTIONPamoja na kulipwa MAFAO ya ubunge takribani 600m TZS kila Mheshimiwa iweje hamkuchukua tena Fomu za kuomba uteuzi wa Chama Chetu? Au mmeamua kustaafu na Dr Majaliwa?
Ilikuwa ni janaKwani mwsho wa kuchukua form ni lin?!
Jana ilikuwa siku ya mwisho ya kurudisha fomu kwa wale wanaotaka kuiwakilisha CCM. Vyama vingine vina ratiba zao.Ilikuwa ni jana
OK 👌Jana ilikuwa siku ya mwisho ya kurudisha fomu kwa wale wanaotaka kuiwakilisha CCM. Vyama vingine vina ratiba zao.
Amandla...
Chawa wa MsambavatangaIanzishwe na mada ya wadau wangapi wa jukwaa la siasa wamechukua form,
Au sisi ni spectators and committed ‘arm chair critics’ wa kudumu.
Kazi yetu kulumbana tu humu for nothing.