Valencia_UPV
JF-Expert Member
- Mar 31, 2016
- 6,974
- 8,750
Mwamba kapotelea wapi? Madaraka haya aisee kama nguo ya kuazima
MkuuMwamba Eenzi anatumbuliwa na Jiwe hakuwa na nyumba Dar akaenda kuishi kwa mkwe. Baada ya kufurishwa nyumba za mawaziri. Hope alijifunza
Watu wa Kusini mtihani Bernard, Benja mule mule!Mkuu
Halafu huwezi amini hii majuzi baada ya kutumbuliwa tena ndiyo akaanza ujenzi
Yuko busy na ujenzi