Cute Wife
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 1,906
- 5,000
Wakuu,
Nape asema, vyama vikikaribia kufa wanaanza kugombana, kama ilivyokuwa kwa Mrema na CHADEMA wanaelekea huko huko. Hivyo watu wasipoteze muda kwenye chama kingine, kwani chama original ni kimoja tu; CCM, vingine vyote ni kopi.
Kupata nyuzi za kimkoa Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Mbunge Nape Nnauye ameyasema hayo akiwa Simiyu katika kampeni za uchaguzi wa serikali za mitaa huko Simiyu Novemba 21, 2024.