Wakuu,
Nape asema, vyama vikikaribia kufa wanaanza kugombana, kama ilivyokuwa kwa Mrema na CHADEMA wanaelekea huko huko. Hivyo watu wasipoteze muda kwenye chama kingine, kwani chama original ni kimoja tu; CCM, vingine vyote ni kopi.
Mbunge Nape Nnauye awakaanga wapinzani kwenye Kampeni za uchaguzi wa serikali za mitaa huko Simiyu.
View attachment 3157495
CCM haipingani kabisa, kwa hiyo yenyewe imeshakufa?Wakuu,
Nape asema, vyama vikikaribia kufa wanaanza kugombana, kama ilivyokuwa kwa Mrema na CHADEMA wanaelekea huko huko. Hivyo watu wasipoteze muda kwenye chama kingine, kwani chama original ni kimoja tu; CCM, vingine vyote ni kopi.
Mbunge Nape Nnauye awakaanga wapinzani kwenye Kampeni za uchaguzi wa serikali za mitaa huko Simiyu.
View attachment 3157495
Safi sana kampeni ziendelee tupate viongozi boraWakuu,
Nape asema, vyama vikikaribia kufa wanaanza kugombana, kama ilivyokuwa kwa Mrema na CHADEMA wanaelekea huko huko. Hivyo watu wasipoteze muda kwenye chama kingine, kwani chama original ni kimoja tu; CCM, vingine vyote ni kopi.
Mbunge Nape Nnauye awakaanga wapinzani kwenye Kampeni za uchaguzi wa serikali za mitaa huko Simiyu.
View attachment 3157495
NAPE NNAUYE: CCM INAZO NJIA NYINGI ZA KUPATA USHINDI, HAITEGEMEI KURA.Wakuu,
Nape asema, vyama vikikaribia kufa wanaanza kugombana, kama ilivyokuwa kwa Mrema na CHADEMA wanaelekea huko huko. Hivyo watu wasipoteze muda kwenye chama kingine, kwani chama original ni kimoja tu; CCM, vingine vyote ni kopi.
Mbunge Nape Nnauye awakaanga wapinzani kwenye Kampeni za uchaguzi wa serikali za mitaa huko Simiyu.
View attachment 3157495
Sasa kama ni hivyo uchaguzi si uwe huru na haki waone matokeo?Wakuu,
Nape asema, vyama vikikaribia kufa wanaanza kugombana, kama ilivyokuwa kwa Mrema na CHADEMA wanaelekea huko huko. Hivyo watu wasipoteze muda kwenye chama kingine, kwani chama original ni kimoja tu; CCM, vingine vyote ni kopi.
Mbunge Nape Nnauye awakaanga wapinzani kwenye Kampeni za uchaguzi wa serikali za mitaa huko Simiyu.
View attachment 3157495
Anayewaengua ni nani?Kama mna uhakika wa kwamba mtashinda huo Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, kwanini Wagombea wa Upinzani mnawaengua?
Kitendo cha kuwaengua, kinaonesha ni jinsi gani msivyojiamini
Nape na JanuariKikeke: Mh Makonda wale mawaziri wawili uliosema wanamsimanga Rais ulishawasemelea Kwa mama?
Makonda: Kwani wako wapi?
Siasa bhana 😂