Nape kuvaa cheni za gold maana yake nini?

hizi cheni za wanasiasa sio cheni za urembo..
most of times ni cheni walizopewa mlingotini bagamoyo...
hawawezi vaa hirizi zitaonekana,so wanavaa cheni instead.....trust me
 
hizi cheni za wanasiasa sio cheni za urembo..
most of times ni cheni walizopewa mlingotini bagamoyo...
hawawezi vaa hirizi zitaonekana,so wanavaa cheni instead.....trust me
bamkubwa kwa ushirikina ...hujambo!
 
kwani hapo tatizo lipo wapi mi nadhani tuwe tunaangalia vitu vya kupost
 
Mbona Mkapa alikuwa anavaa Cheni na bado anavaa mpaka leo lakini hatukusema na hatumsemi? Ni ngumu kuieleza lakini laiti ningekuwa na uwezo, hakuna public figure ingekuwa inaruhusiwa kuvaa vitu kama hivi!!!.

Tiba

Kwani kuna tatizo gani ukivaa? Wewe huwa unavaa nini mwilini mwako?
 

Mbona ****** anavaa na ya mkononi na hamjamwambia ampe festi ledi? Watu wengine mnaongea pumba sana mpaka zina kera.
 

Wewe unapovaa shati zuri ama saa nzuri unalenga kumvutia nani? This is crap! Unaonyesha una chuki binafsi dhidi ya Nape.
 
Usishangae cheni tu, huoni hata LIPS zake kapaka lipstik nyeusi!!!!!!!!!!
 

hii imekaa kiwivu wivu sana na wala sio hata chuki ni kijicho tu hiki!!!
 
we calmdowndear acha ushabiki wa kijinga,siasa si uadui coz najua umeandika hivyo kwa kuwa ww unaonesha wazi ni mwana cdm na nape ni mwana magamba ndo maana umeona uharamu wa comrade nape kuvaa gold,je dr.slaa,freeman mbowe,zitto kabwe au tundu lisu wangevaa gold ungepata ujasiri wa kuandika pumba ulizoandika dhidi ya nape? mm nadhani ulichoandika si hoja ya msingi ya kutaka ijadiliwe na watu makini wa JF coz hapa tunajadili mustakabali wa taifa letu kwa maandeleo ya kizazi cha sasa na kijacho bila kujali itikadi za chama chochote kile na si upuuzi kama huo

mambo kama hayo peleka fb kwa u18 mkajadili hizo pumba....TAIFA KWANZA....USHABIKI WA VYAMA NA WA KISIASA BAADAYE
MUNGU IBARIKI AFRICA MUNGU IBARIKI TANZANIA MUNGU WABARIKI GREAT THINKERZ WA JF AMEN
 
aliyepost hii thread kama ana mke basi huyo wife anataabika kwel kwel....anaonekana ni mtatara kuliko makamba LOL!
 
hakuna kosa ana haki na uhuru wa kuvaa chochote akitakacho acha kashfa
 

Kiongozi lazima uwe na namna ya muonekano ulio na staha, iwe ni katika mavazi n.k. Ingekuwa ni kujivalia tu, bungeni wasingeweka sheria za mavazi, hairuhusiwi kuvaa bukta na fulana au jinsi bungeni. Kwa sababu gani, ni kwa sababu ya heshima ya mbunge. kumbe kuna mavazi mengine kwa hawa waheshimiwa yanakuwa siyo ya heshima kwa jamii.

Mimi nadhani viongozi wetu kama akina Nape, wanatakiwa kuwa mfano katika maeneo mbalimbali, ikiwa ni pamoja na mavazi wanayovaa. Nape anapovaa cheni mkononi na shingoni, mtu wa kawaida [hasa mwanaume] akivaa heleni, azama puani, mkufu mguuni na kata K haitaonekana kama ni tatizo kwa sababu viongozi wetu wametuanzishia sample ya namna tunavyoweza kuwa.

Wengi hapa wanaweza kuwa wanamuunga mkono Nape kwa kuvaa cheni mkononi na shingoni, nii ni kwa sababu nao tayari wameathiriwa na hali hiyo. Lakini napenda niwaeleze kuwa jamii makini inawashangaa sana japo haiwezi kusema kitu kwenu.

Mvaa kata K haoni tatizo kwa kata K yake lakini mtu makini na mstaarabu anashangaa japo hawezi kumwambia kitu huyo mvaa kata K.
 
Simzimii Nape wala Magamba lakini kuvaa sijui gold chain ama hirizi naona ni ruksa tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…