Nape kuvaa cheni za gold maana yake nini?

<br />
<br />
Hakuna shida ila kama angepaka wanja kwenye macho na lipstiki ndio ingekuwa noumaa.
 
zngne sifa za kjnga!! et ataka kuwa kjana wa ksasa!! shalobalo!! wakat tunajua kuwa ccm n ya wazee wengi asa anataka kutwambia nn?
 
ni moja ya kujiwekea vijisent vyake siku ikifika hupita kwa sonara then anachukua chenji yake na kuacha huko hiyo chain
 
mie sisemi.. kitu.. niko kimya kabsaa.. napitapita polepoooole.. wanasema (sio mimi) eti kwamba wanawake guu la shoto kuvikwa Cheni ni sawa na wanaume kono la shoto kuvikwa cheni.. eti mtu huyo anagawa "hudma" pande zote.. mh mie sijui kama ni kweli.. ila watu wanasema tu.. sio mimi..
 
Jamani vitu vingine ni umahili wa mtu vile apendavyo kuonekana kwani tatizo nini mbona wengi tu wanava tena watu malufu kuliko hata nape au kwake yeye kuva ni zambi tujuzeni nasi tujue mi sinaona tatizo au yeye haluhusiwi kuwa mtanashati mengine ni mambo ya mtu binafsi hapo hutuzungumzi uchama sio vema jambo ambalo halina masilah kwa jamii kulikuza na kufanya ni kama zambi mbele ya jamii.HI NI NGUVU YA UMMA.Huu ni mtazamo wngu
 





Mzee wetu alishawai kusema kwa mtoto wake wa kiume alipomkuta kavaa cheni ya gold;akamwambia wewe mvulana uvae cheni na dada yako/mama yako wavae nini?
Toka siku iyo dogo ajawai vaa cheni na atakama atakuwa anavaa ni siri yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…