Li ngunda ngali
JF-Expert Member
- Jun 22, 2023
- 707
- 2,572
Boss lady atambue, hana uwezo wa kupambana na hila za wafitini wakimwamlia.
Kasi yake ya kuongeza u hasama inaendelea kushika kasi kwa mwendo kasi wa ajabu!
Kasi yake ya kujiongezea maadui inatishia mno salama yake ki siasa.
Nahofia hao hapo juu wakiungana kwa minajili ya kumdhoofisha ama kumfitini ki siasa kupitia makundi yanayoonekana kunyanyasika wakati wake huu wa Utawala.
Inafahamika binadamu sisi hujawa na vinyongo vyenye kisasi ndaniye kwa kile ambacho hudhani hatukutendewa haki hata palipo tendwa haki mfano kufutwa cheo.
Amejipangaje boss lady kupangua mapigo taraji kwake ki siasa? Jawabu analo mwenyewe.
Yetu macho.