Nape Moses Nnauye afunga ndoa

malenga wanasema;

"Nyani
hutumaini, hupendana
mitini"
 
Dah kapata chombo haswaaa tunyetunye kama toto la kinyakyusa!
hongera zake!
 
Alikuwa mungwana akampa EL kadi ya mchango na ya mwaliko
kweli?
 

ktk pozi,baada ya kuaga rasmi ukapela na kuingia ktk majukumu.Hongera sana na karibu ktk chama chetu cha wenye ndoa
waswahili wanasema "ndoa ndoano"

Hiyo picha inanipa maswali na majibu mengi na inanipa hisia nyingi: Nape haonekani kuwa na furaha kama mke wake; ama mawazo yake yako Kalenga kwenye uchaguzi mdogo, au yako Chalinze, akiwaza na kuwazua namna ya kuuaminisha umma kuhusu uteuzi wa mtoto wa Mwenyekiti wake, au anaifikiria Chadema, kama sio JF.
Hongera kijana Nape kwa kufungwa pingu za maisha.
 
Ina maana alikuwa DC akiwa bachelor? Mkwe.re hana akili timamu!
 
inasemekana,Kabla ya siasa Alishawahi kuoa,na alikuwa muumini wa kanisa la kipentekoste pale ilala,Amana vijana center.nadhani ni ndoa ya pili.
Mungu aibariki ndoa yake na changamoto za ndoa ukiwa mwanasiasa maarufu
 
Ile Ndoa kubwa ya mzee wa totozi wa ukweli Dar, iliyopangwa kufanyika uwanja wa Taifa ni lini?
 
Last edited by a moderator:
Huyo ni binti wa Kikurya,babake ni marehemu mzee Mkami wa pale Tarime juu bomani.

Mambo yaligubikwa na usiri mkubwa sana,I think Nape alikwishaoa kabla

Alioa tena binti mrembo kweli ila hiyo ndoa ilivunjika mwaka juzi hivi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…