bategereza
JF-Expert Member
- Dec 26, 2013
- 3,314
- 1,071
Huyo ni binti wa Kikurya,babake ni marehemu mzee Mkami wa pale Tarime juu bomani.
Mambo yaligubikwa na usiri mkubwa sana,I think Nape alikwishaoa kabla
Babu Slaa mpaka leo anazini, hajawahi kufunga ndoa.
Alifunga ndoa na Tumaini Hemed mwaka 2006,waliachana Nape ana michepuko mingi.Rhobi mfupa uliomshinda Tumaini utauweza?
Anthony Mtaka,Dc wa Mvomero hajaoa mpaka leo.
Hii kwa kweli si nzuri sana kwa mtu anaeongoza kamati ya ulinzi na usalama ya wilaya.
Huyo ni binti wa Kikurya,babake ni marehemu mzee Mkami wa pale Tarime juu bomani.
Mambo yaligubikwa na usiri mkubwa sana,I think Nape alikwishaoa kabla
ktk pozi,baada ya kuaga rasmi ukapela na kuingia ktk majukumu.Hongera sana na karibu ktk chama chetu cha wenye ndoa
waswahili wanasema "ndoa ndoano"
Ni kweli huyu jamaa alioa miaka kadhaa iliyopita. Kama sikosei ni mwaka 2006/7. Na ni mlokole. Sasa ndio najiuliza ni kwamba mke wake wa awali alifariki au kaachana nae? Na kama kaachana nae, ulokole ndio bye bye baada ya kujulikana sio?
Nimekumbuka tangazo la "Baki njia kuu. Epuka michepuko"!
Kweli kabisa pale FPCT kwa mchungaji Abeli,Nape bwana
Hiyo picha yenyewe inaonyesha kama sio kanisa la Azania basi ni St. Joseph itakuwa kahama dhehebu teh
Mimi nilifungua huu uzi haraka haraka nikitarajia bi harusi ni Juliana Shonza, kumbe sivyo.
Tiba
halafu Nape anaonekana mwenye mawazo sana...........
ni kama vile.................