Nape Moses Nnauye afunga ndoa


Ki ukweli harusi ilikuwa safi sana japo sijashiriki lakini picha inajieleza kabisa.

HONGERA SANA!!!


wewe sematu hongera kwa kupata mke( kuoa) harusi nzuri ikowapi mbona siioni
 
Huyo sio NAPE tangu lini nape akawa na nywele kama hizo
 
Hii picha mbona kama sio yeye, wamebandika tu kichwa chake.
 
Ina maana baada ya muda tutemegee kuzaliwa kwa kafisadi kadogodogooooo....hongera zake mheshimiwa Nape. Ila ushauri wangu asipeleke siasa kwa binti wa watu., hapo nitamchapa viboko
 
Nape. sikuhizi wenzio hawaoi mpaka mama aanze kutapika na kula ndimu. mbona sioni dalili hapa ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…