Mh Nape!
Hatukufichi mkuu, wewe huna chochote mpaka sasa ulichosaidia wananchi kwenye wizara yako zaidi ya kuwakamua tuu kupitia vifurushi huku huduma zikiwa mbovu zaidi,
Haujawahi kuwatetea hata kidogo wananchi uwapo kwenye vikao vyenu na makampuni haya ya mitandao na cha ajabu umekuwa wa kwanza kuogopa ushindani ambao ungeletwa na kampuni ya Elon Musk, hapa ndo umedhihirisha kwamba huna faida yoyote kwenye hiyo wizara! Unazuia uwekezaji kwa kuweka masharti ya yasiyo na tija! Vijana hawana ajira, unazuia uwekezaji kwa faida ya nani?
Hapa tunajiuliza maswali mengi sana, sjui unapata faida gani katika hilo!
Mpaka sasa haujatushawishi wananchi kwamba uliondolewa na kukataliwa na JPM kimakosa bali umedhihirisha kuwa huna uwezo wowote na unabebwa!
Mh January!
Ndugu yangu, hatukufichi, hiyo miradi ya JPM inakubeba saana na imeanza kukufichia udhaifu wako bora isimamie vema na iende kwa kasi kwani huna jipya hapo zaidi ya kutukatia umeme na sababu zisizo na mbele wala nyuma!
JPM hakuwaonea hata kidogo kuwakataa na kuwatupa nje kabisa ya baraza lake