thetallest
JF-Expert Member
- Oct 21, 2017
- 8,271
- 9,113
NinajuaHii ilikuwa wakati wa utumbuzi wa mwendazake..cheki hata tarehe.
Hii ya 2019Anazidi kuharibu kama kweli hiyo ni account yake hiyo ya nitasema zaid siku zijazo haikuwa na umuhimu.
Uchungu bado haujaisha.....Kawaida ninavyofahamu mimi mamlaka ya uteuzi ina weza teua na kutengua bila kuhojiwa,nilitegemea vijana hawa kwa maana ya January Makamba,Nape Nnauye na Byabato wamshukuru rais Samia kwa dhamana walizotumikia,lakini naona kimya,je?,hawaamini kama cheo ni dhamana?
Hiyo tweet ni aliyotumbuliwa na jiwe JPMAnazidi kuharibu kama kweli hiyo ni account yake hiyo ya nitasema zaid siku zijazo haikuwa na umuhimu.
Uliposema tu vijana nikajua ni ushauri wa kinaa. Hao jamaa sio vijana rekebisha hilo. Halafu sio hao akina Nape tu, ccm yote kama chama na wanachama wake hawaamini kwenye kupoteza madaraka, unataka wapongeze kinafiki ili iweje?Kawaida ninavyofahamu mimi mamlaka ya uteuzi ina weza teua na kutengua bila kuhojiwa, nilitegemea vijana hawa kwa maana ya January Makamba, Nape Nnauye na Byabato wamshukuru Rais Samia kwa dhamana walizotumikia, lakini naona kimya.
Je, hawaamini kama cheo ni dhamana?
Ahsante mkuu nilikuwa sijaona hapo chini 2019.Hiyo tweet ni aliyotumbuliwa na jiwe JPM
Nape alimuingiza Maharagwe Cha kike. Na kwa kitendo cha ule utenguzi Nape ajue hakuna atakayemgusa, hakuna hata atakaye mtangaza mshindi wa kura za wajumbe. Anaweza kuwahonga wajumbe na wakampigia kura kweli, tatizo linakuja Nani hajipendi atatangaza kwamba nape ndio kashinda?Badala yake wanaziambia taasisi zisambaze meseji za kuwashukuru wao kwa utendaji bora😆😆😆 wamewaponza wenzao mpaka wametenguliwa
Angalia hata tarehe basi kabla hujacoment hata kama huwezi kutunza kumbukumbuAnazidi kuharibu kama kweli hiyo ni account yake hiyo ya nitasema zaid siku zijazo haikuwa na umuhimu.
Hii ni ya enzi za Magufuli tena nakumbuka Mzee Mwinyi alimaind sana picha yake kutumika wakati huo (Makamba alivyofutwa kazi na Jiwe) ikizingatiwa picha yenyewe ilichukuliwa miaka mingi nyuma ktk tukio jengine kabisa.
mama sindiiii alimind kuona anatumika kisiasaaaaHii ni ya enzi za Magufuli tena nakumbuka Mzee Mwinyi alimaind sana picha yake kutumika wakati huo (Makamba alivyofutwa kazi na Jiwe) ikizingatiwa picha yenyewe ilichukuliwa miaka mingi nyuma ktk tukio jengine kabisa.
Kiukweli hawa akina Makamba, Nape na Byabato wamemdharau mama, wanaona ilikuwa ni haki yao wao kuendelea kuwa mawaziri kana kwamba nchi hii ni ya baba zao.