Sonimbusilo
Member
- Aug 12, 2024
- 12
- 47
Pigo la pili kwa January Makamba na Nape Nnauye kwa Marais wawili tofauti Ni wao kujiona special toka enzi za CCJ.
Wadau kwa mtizamo na jicho la kitafiti mtakubaliana nami kuwa January Makamba na Nape Nnauye Wana Maisha ya kujiona special toka enzi na enzi, ukitizama historia Yao hata ya Elimu Ni Ukweli woote wawili wameunga unga tu kwa sababu wametoka familiar bora, anzia January Makamba kigonsera zero brain kabisa Ila pesa ikamng'arisha hadi nje, rudi kwa Nape kuanzia chini hadi anasoma INDIA.
Vuta kumbukumbu Ben Saanane kabla ya kupotea alikuwa Anasema yeye alisoma na Nape Nnauye INDIA japo vyuo tofauti lakini uwezo wa Nape Nnauye ulikuwa mdogo kwa wanafunzi kutoka Afrika, sema akiwa INDIA alikuwa na pesa chafu za nyumbani na alikuwa mtu wa kujiona, special, kujisikia na kuona yeye ndo kila kitu.
Pigo la Nape na January Makamba ni kujisikia na kujiona special na kuona wanaweza kufanya chochote na ndo Maana hata historia ya vuguvugu la uhasi ndani ya CCM kipindi cha CCJ huwakosi watu hao, lakini ukitizama Nape Nnauye Kuanzia akiwa Waziri wa habari yeye alikuwa ni mtu wa mgeni rasmi, kuzindua makongamano, mara semina yaani ni sanaa, Utapeli, suti nk na ndo maana kila akitumbuliwa na kuanzia Hayati Magufuli mpka Rais Samia alikuwa ukumbini mgeni rasmi.
Mwisho January Makamba na Nape Nnauye ni Viongozi wa kujikweza na wana uwezo mdogo katika utendaji wao, angalieni wizara zoote waliopita walishindwa kudeliver kwa ajili ya nchi bali walijitengenezea kesho yao nzuri na wapambe wao.