Pre GE2025 Nape na makamba kurudi CCM kuchukua Nafasi za uenezi na ukatibu?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

nuporo

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2018
Posts
1,534
Reaction score
3,387
Nape na makamba kurudi CCM kuchukua Nafasi za uenes na ukatibu.

Baada ya Tenguzi katika nafasi zao za Uwaziri January Makamba na mwenzake Nape watapangiwa majukumu katika Chama kutokana na uzoefu wao katika kazi hasa nyakati za uchaguzi mkuu.

 
Hili Kwa Tanzania inawezekana hata kesho NAPE NI MWENEZI, MAKAMBA KATIBU MKUU
 
Hili Kwa Tanzania inawezekana hata kesho NAPE NI MWENEZI, MAKAMBA KATIBU
 
Akitaka Rais aanguke ajichanganye awape kazi kwenye chama hawa siyo watu wazuri. Ni double standards.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…