Nape na Makamba mlikuwa mkisoma vyema Mada zangu mbalimbali hapa JamiiForums za Kuwahusu na Kuwaonyeni au nanyi mlikuwa mnanipuuza?

Nape na Makamba mlikuwa mkisoma vyema Mada zangu mbalimbali hapa JamiiForums za Kuwahusu na Kuwaonyeni au nanyi mlikuwa mnanipuuza?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Nakumbuka Makamba nilikuambia hapa hapa kuwa kitendo tu na kutolewa kwako kule Wizara ya Nishati Mama alikuwa anakutafutia tu Timing ili akumaliza mazima kwa tabia zako za kujifanya uko naye wakati huku chini chini Unamsnichi na ukiendelea na mchakato wako wa Kujipanga kisirisiri ndani ya Chama kwa 2025 na hasa 2030 huku kama kawaida yako ukiwa unaongozwa na Dharau, Ujivuni mwingi huku ukizitegemea sana zile mbinu zako za Wazee wa Simba na Yanga za nje ya Uwanja kukusaidia.

Nakumbuka pia kwa Nape nilikuambia kuwa huna muda mrefu ndani ya Baraza lake kwani licha ya kuwa huna Uwezo wowote ule zaidi tu ya ujanja ujanja ila pia ulikuwa ni Ndumilakuwili kwa Mama hasa kwa kupenda kumpiga Majungu na wale baadhi ambao aliwaweka Kando na hukujua kuwa ulikuwa Unafuatiliwa.

Na juzi ukajichanga kwa Ujuha wako Mama akaona hapo hapo amalize Shughuli kabisa, na nina taarifa kuwa kuna rafiki yako mmoja (Kaka wa Bosi wa Media Kubwa ya Mikocheni) Daktari ambaye ni Rafiki yako alikuonya mno Nyendo zako ukampuuza.

Ombi langu Wateuliwa wote Tanzania pendeni sana kusoma Mada za Waliobarikiwa Upeo na Akili hapa JamiiForums.

Poleni sana.

Pia soma > News Alert: - Uteuzi na Utenguzi: Nape, January na Byabato out! Jerry Silaa ahamishiwa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari
 
Kitakachotokea kule Bumbuli , jina la Makamba halitarudi, CCM wameshampata dogo mmoja Safi. Yaani pamoja na kwamba Makamba ana hela nyingi Sana na anaamini Sana masangoma na anapenda Sana wanawake lakini ajue this is the beginning of the end.
Mama harogeki na sasa ana Mtaalam mmoja huyo Mtu yoyote akiwaza tu Kumroga / Kumharibia anajulishwa upesi.
 
Nakumbuka Makamba nilikuambia hapa hapa kuwa kitendo tu na kutolewa Kwako kule Wizara ya Nishati Mama alikuwa anakutafutia tu Timing ili akumaliza mazima kwa tabia zako za kujifanya uko nae wakati huku chini chini Unamsnichi na ukiendelea na mchakato wako wa Kujipanga kisirisiri ndani ya Chama kwa 2025 na hasa 2030 huku kama Kawaida yako ukiwa unaongozwa na Dharau, Ujivuni mwingi huku ukizitegemea sana zile mbinu zako za Wazee wa Simba na Yanga za nje ya Uwanja kukusaidia.

Nakumbuka pia kwa Nape nilikuambia kuwa huna muda mrefu ndani ya Baraza lake kwani licha ya kuwa huna Uwezo wowote ule zaidi tu ya ujanja ujanja ila pia ulikuwa ni Ndumilakuwili kwa Mama hasa kwa kupenda Kumpiga Majungu na wale baadhi ambao aliwaweka Kando na hukujua kuwa ulikuwa Unafuatiliwa na juzi ukajichanga kwa Ujuha wako Mama akaona hapo hapo amalize Shughuli kabisa. Na nina Taarifa kuwa kuna Rafiki yako Mmoja ( Kaka wa Bosi wa Media Kubwa ya Mikocheni ) Daktari ambaye ni Rafiki yako alikuonya mno Nyendo zako ukampuuza.

Ombi langu Wateuliwa wote Tanzania pendeni sana kusoma Mada za Waliobarikiwa Upeo na Akili hapa JamiiForums.

Poleni sana.
Makamba na Nape hawasomagi jf. Mwigulu ndio anasomaga na ndio maana kaachwa.
 
Kaa kimya mwenyewe, nasema tena katika siasa hakuna mambo ya Bahati mbaya haswa mambo ya Ccm . Njoo hapa 303VK unipige
Mimi ni Mwanaume mzaliwa wa Pwani sasa ukisema nije Nikupige nakuwa namaanisha kuwa nije Kukupigisha Miluzi.
 
Nape alipata taarifa mapema kuwa kwenye Mkeka mpya hayupo akaamua kuja na lile goli la lazima kwenye Tege ili afikiriwe upya wakati alishaharibu toka kitambo...
 
Nakumbuka Makamba nilikuambia hapa hapa kuwa kitendo tu na kutolewa Kwako kule Wizara ya Nishati Mama alikuwa anakutafutia tu Timing ili akumaliza mazima kwa tabia zako za kujifanya uko nae wakati huku chini chini Unamsnichi na ukiendelea na mchakato wako wa Kujipanga kisirisiri ndani ya Chama kwa 2025 na hasa 2030 huku kama Kawaida yako ukiwa unaongozwa na Dharau, Ujivuni mwingi huku ukizitegemea sana zile mbinu zako za Wazee wa Simba na Yanga za nje ya Uwanja kukusaidia.

Nakumbuka pia kwa Nape nilikuambia kuwa huna muda mrefu ndani ya Baraza lake kwani licha ya kuwa huna Uwezo wowote ule zaidi tu ya ujanja ujanja ila pia ulikuwa ni Ndumilakuwili kwa Mama hasa kwa kupenda Kumpiga Majungu na wale baadhi ambao aliwaweka Kando na hukujua kuwa ulikuwa Unafuatiliwa na juzi ukajichanga kwa Ujuha wako Mama akaona hapo hapo amalize Shughuli kabisa. Na nina Taarifa kuwa kuna Rafiki yako Mmoja ( Kaka wa Bosi wa Media Kubwa ya Mikocheni ) Daktari ambaye ni Rafiki yako alikuonya mno Nyendo zako ukampuuza.

Ombi langu Wateuliwa wote Tanzania pendeni sana kusoma Mada za Waliobarikiwa Upeo na Akili hapa JamiiForums.

Poleni sana.
Mtoto wa mchawi katoa nje tunguli za mzazi wake, mzazi kachefukwa kwa kuumbuliwa
 
Back
Top Bottom