BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 4,548
- 11,901
CCM ni wajanja sana, na hii awamu ya Mama wamekuwa wabunifu zaidi na zaidi. Unaambiwa wajinga wape msosi washibe na baada ya hapo watafutia michezo au Mada then waachie hapo watajadilu hadi kufikia kupigana.
Mada ya wiki imetoka na hii itakuwa sapoted na mada za Yanga na Simba, huu ndio ujinga tutadiscus wiki nzima tukipumzika tunawekewa mada za Yanga na Simba. Maswala serious ya hii nchi hutayasikia.
Matukio yakututengeneza Mada za kila wiki yapo sana awamu hii, na hii sio kwa bahati mbaya bali ni makusudi kabisa ili wajinga sisi tuwe busy.
wiki hii ni Flash disc ya Nape na Makamba na itakuwa sapoted na Flash disc ya Yanga na Simba.
Mada ya wiki ijayo hope isha kamilika inangoja muda tu.
Mambo serious kama Ufisadi, Upigaji wa pesa BOT, Maisha magumu, hutayasikia tena, bali tutakuwa busy na Nape na Makamba Juniour.
Wakati Wakenya wakiendelea na movement ya mabadiliko kule kwao sisi tuna letewa Mada za kujadili.
Leo kuanzia vijiwe vya kahawa, tangawizi, kwenye daladaka, media zote, mada ni Nape na Makamba, tukichoka tunawekewa Yanga na Simba.
Wajanja wanaendelea kugawana nchi na kupiga nchi kwa ufisadi wajinga tunaundiwa topic za kujadili.