Hahah...haya bana!CCM ndio dini yake... kama mzee wetu kingung`e
Mkuu kwahiyo Nape aliokotwa tu? hata mie nilikuwa namtania mdogo wangu kuwa tulimuokota tu basi analia hadi nimuambie hatukumuokota kisha anaenda kusema kwa mother.kwa taarifa zilizopo huyu jamaa hata huyo mzee Moses Nnauye sio dingi wake. Kuhusu suala la imani yake hapo sina taarifa
Ni sawa na Lil Wayne alivyolelewa na Baby. Ndivyo ilivyo kwa Nape na marehemu mzee Moses Nnauye

Mafirauni huwa hawana dini...

Sidhani kama ni muislamu kwani asingewafitini waislam wenzie...

Lakini pia sidhani kama mkristo kwani JK asingemtumia kuwafitini wakristo wenzie, na pia JK ni mdini anapenda kuwapa ulaji watu wa dini yake
Wanajamii naomba kuuliza swali hili, hivi huyu Nape ni dini gani? Kwani ninavyokumbuka wakati Mzee Moses Nnauye amefariki alizikwa kwa imani ya dini ya kiislamu. Lakini toka Nape ameanza kuwa maarufu (kama ni kweli) sijamuona kwenye shughuli yeyote ya kidini (iwe kanisa msikiti etc) Pia mwezi wote wa Ramadhani hakuwa na dalili za kufuata imani ya kiislamu kama inavyokuwa kwa Waislamu wengine wote wanavyouheshimu mwezi wa Ramadhani
Binafsi nafikiri huyu dogo hana chembe ya dini ndani ya damu yake kwa sababu ni mwongo, mnafiki, mchonganishi na kizabazabina!
CCM ndio dini yake... kama mzee wetu kingung`e
Mafirauni huwa hawana dini...
Sidhani kama ni muislamu kwani asingewafitini waislam wenzie...
Lakini pia sidhani kama mkristo kwani JK asingemtumia kuwafitini wakristo wenzie, na pia JK ni mdini anapenda kuwapa ulaji watu wa dini yake
mshkaji ana dini lakini anaweka maslahi ya kazi mbele kwa sababu ya njaa
He must be a Christian like his father but Not Moses Nnauye.
kwa taarifa zilizopo huyu jamaa hata huyo mzee Moses Nnauye sio dingi wake. Kuhusu suala la imani yake hapo sina taarifa
Ni sawa na Lil Wayne alivyolelewa na Baby. Ndivyo ilivyo kwa Nape na marehemu mzee Moses Nnauye
Mkuu kwahiyo Nape aliokotwa tu? hata mie nilikuwa namtania mdogo wangu kuwa tulimuokota tu basi analia hadi nimuambie hatukumuokota kisha anaenda kusema kwa mother.
He must be a Christian like his father but Not Moses Nnauye.[/QUOTE
I just don't like what you are implying

Mkuu kwahiyo Nape aliokotwa tu? hata mie nilikuwa namtania mdogo wangu kuwa tulimuokota tu basi analia hadi nimuambie hatukumuokota kisha anaenda kusema kwa mother.