Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
R.I.P Laigwanan comrade ENLShughuli hii inafanyika muda huu Karimjee , Mh Nape ambaye ni Waziri wa Habari ameongoza kundi la Mawaziri kuingia eneo la tukio.
Watu ni wengi sana na bado wanaendelea kumiminika
Mwili wa Lowassa ukitoka Lugalo
View attachment 2902457
Waliombatilishia matokeoLet him Rest Easy.
Kwa heri Lowassa,
waliokuibia Kura wengi utakutana nao huko.
Na tumbo lake kama mjamzito vileView attachment 2902459
Shughuli hii inafanyika muda huu Karimjee , Mh Nape ambaye ni Waziri wa Habari ameongoza kundi la Mawaziri kuingia eneo la tukio.
Watu ni wengi sana na bado wanaendelea kumiminika
Mwili wa Lowassa ukitoka Lugalo
View attachment 2902457
Shughuli hii inafanyika muda huu Karimjee , Mh Nape ambaye ni Waziri wa Habari ameongoza kundi la Mawaziri kuingia eneo la tukio.View attachment 2902459
Shughuli hii inafanyika muda huu Karimjee , Mh Nape ambaye ni Waziri wa Habari ameongoza kundi la Mawaziri kuingia eneo la tukio.
Watu ni wengi sana na bado wanaendelea kumiminika
Mwili wa Lowassa ukitoka Lugalo
View attachment 2902457
Let him Rest Easy.
Kwa heri Lowassa,
waliokuibia Kura wengi utakutana nao huko.
Na wewe utaenda huko huko , Yani kwenye msiba sionagi sababu ya kumcheka mtu , tukubali tuu kwamba duania yetu ina mauza uza kibao , na Kwa nyakat fulan wote tunafanya maovu kila mtu sehemu yake , ni rahs Sana kumshutumu mwingine na kumcheka akifaLet him Rest Easy.
Kwa heri Lowassa,
waliokuibia Kura wengi utakutana nao huko.
Huyu mzee leo ndo ataonekana alichoongea ni kweli leoShughuli hii inafanyika muda huu Karimjee , Mh Nape ambaye ni Waziri wa Habari ameongoza kundi la Mawaziri kuingia eneo la tukio.
View attachment 2902567
Sent using Jamii Forums mobile app
ππππππ