Nape Nnauye afika Karimjee kuaga Mwili wa Lowassa

Huyu Nape Kama Ni muislamu dhambi ya unafiki haitamuacha salama.
Wakati wa kampeni 2015 hapa Iringa hotuba yake ilikua kumchafua EL tu. Alifikia hata kusema EL akaipiga push up atajisaidia haha kubwa.
Leo sijui atasema Nini?
Unaweza kufanya siasa bila kumtukana mpinzani wako matusi ya nguoni.
Sijawahi kumsikia AHM akimtukana mtu au Cigwiyemisi au Salim.
 

Kama hana aibu kwenye jambo kama hili mpaka anajiweka kimbelembele .... hivi mnafikiri anaweza kuwa na aibu kutuibia kura zetu ..... CCM ni Ukoo wa PANYA!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…