Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Ila hii Dunia acheni tu. Huyu Nape sijui anapokutana na Bernard Membe, Makamba, Kinana et al anawasalimiaje.
Katika Dunia epuka sana kuwa na ukaribu na mtu anayeweka pozi hii ya mikono anapokuwa na Boss wake/wenu. Baba yako, Mkubwa wenu au mtu flani mwenye uwezo.
Anayeweka hivi mikono muogope sana.ni mtu mchawi, mnafiq na mwenye husda sana. Hajiamini na mwenye nidhamu ya woga, ya kinafiq. Hachelewi kukuchoma moto,mshale au mkuki. Hachelewi kukusagia sumu.
Unadhani Nape aliongea nini kwa Magufuli mpaka Magufuli akasema amesamehe? Leo hii Nape ni Waziri tena. Halafu mnasema Uchawa haulipi.
Vyuo anzisheni course ya Uchawa inalipa sana vijana siku hizi.