Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Walimtuma kininjaIla hii Dunia acheni tu... Huyu Nape sijui anapokutana na Bernard Membe, Makamba,Kinana et al.... Anawasalimiaje.
Hayupo nao kwenye good terms aliuza siri za kambi nyingi.Walimtuma kininja
Kwahiyo naye atakufa ukizingatia kauli toka Radio BumbuliHayupo nao kwenye good terms aliuza siri za kambi nyingi.