Uchaguzi 2020 Nape Nnauye anaelekea kupita bila kupingwa Jimbo la Mtama, mgombea CHADEMA alikamatwa jana huku ACT-Wazalendo wakiwa hawana mgombea

Uchaguzi 2020 Nape Nnauye anaelekea kupita bila kupingwa Jimbo la Mtama, mgombea CHADEMA alikamatwa jana huku ACT-Wazalendo wakiwa hawana mgombea

G Sam

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2013
Posts
11,795
Reaction score
36,704
Mgombea wa CHADEMA alikamatwa jana na watu wa TAKUKURU na kwa mujibu wa Nape Nnauye ni kuwa ACT-Wazalendo hawakuweka mgombea kwenye jimbo la Mtama. Ofisi ya Mkurugenzi imepigwa kofuli.

Nimeshangaa kusikia kuwa Membe alishindwa kuweka mgombea ndani ya Jimbo analotoka.
 
CCM ni mdudu hatari sana kwa ustawi wa demokrasia ya nchi hii.
 
Hawa wagombea wa CHADEMA saa zingine wanauza majimbo tusimsingizie Nape, itakuwa ameona hilo jimbo ni gumu akaamua Ku settle for less mkono uende kinywani. Njaa mwanamalegeza.
 
Nape asijidanganye , tayari Chadema ishawasilisha taarifa Tume ya Uchaguzi , hizi njama za kijinga anazofanya Nape zitamgharimu
 
Nape mbona alishaahidi kuwa atapiga wapinzani mbele waziri mkuu na video ipo au hamkumuelewa ? Huyu Ni Pimbi wa kutupa.
 
Back
Top Bottom