Wajinga hao kwanini act hakuweka mgombea
ACT wana mgombea ila msaimamizi wa uchaguzi kafunga ofisi mgombea yupo nje ya ofisi anasubiria
Nape anasema hawakuwa na mgombea
Wajinga hao kwanini act hakuweka mgombea
Hizo figisu za kishamba za Nape zimegonga mwambaNi kweli, kwa jimbo la mtama ACT hawakuwa na mgombea. Chadema yupo ila ndio hivyo tena, figisuuu
Ni kweli, kwa jimbo la mtama ACT hawakuwa na mgombea. Chadema yupo ila ndio hivyo tena, figisuuu