Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Ngoja tuoneNi ile ilee oooh ni ile ileeeeeee!!!!
Pengine inaweza kuwa kwani naye alishaonja ladha ya kunyamazishwa🤸🤸Nape Nnauye ambaye ni Katibu wa zamani wa Itikadi na uenezi wa CCM, amenukuliwa leo akitaka mikutano ya hadhara ya vyama vya siasa iruhusiwe, kwa vile jambo hilo litasaidia kuamsha chama chake cha CCM kutoka kwenye usingizi wa pono.
Nape Nnauye ambaye sasa ni Waziri wa Habari, na ambaye Ubunge wake wa 2020 ulikuwa wa kupita bila kupingwa, baada ya juhudi zake za kumhujumu Mgombea wa Chadema kufanikiwa na kumbambika Kesi ya Rushwa.
Swali letu kwa Nape ni dogo tu. Je, hoja yake hii mpya inatoka Moyoni mwake au AMETUMWA Kupima Upepo?
HUYU HUYU NA Magufuli walizuia BUNGE LIVE ili Wapinzani wasisikike na kuzuia Mikutano ya Hadhara wakidhani Chadema ITAKUFA Leo anadai Mikutano ni Afya Siku zote hakujua?Nape Nnauye ambaye ni Katibu wa zamani wa Itikadi na uenezi wa CCM, amenukuliwa leo akitaka mikutano ya hadhara ya vyama vya siasa iruhusiwe, kwa vile jambo hilo litasaidia kuamsha chama chake cha CCM kutoka kwenye usingizi wa pono.
Nape Nnauye ambaye sasa ni Waziri wa Habari, na ambaye Ubunge wake wa 2020 ulikuwa wa kupita bila kupingwa, baada ya juhudi zake za kumhujumu Mgombea wa Chadema kufanikiwa na kumbambika Kesi ya Rushwa.
Swali letu kwa Nape ni dogo tu. Je, hoja yake hii mpya inatoka Moyoni mwake au AMETUMWA Kupima Upepo?
Unaona mbali sana !Katumwa....wameshapima upepo...
Nape....Mzalendo Halisi...Nape Nnauye ambaye ni Katibu wa zamani wa Itikadi na uenezi wa CCM, amenukuliwa leo akitaka mikutano ya hadhara ya vyama vya siasa iruhusiwe, kwa vile jambo hilo litasaidia kuamsha chama chake cha CCM kutoka kwenye usingizi wa pono.