Escrowseal1
JF-Expert Member
- Dec 17, 2014
- 4,618
- 4,605
Wanatengeneza tatizo wao wenyewe na hao hao ndio wanataka kutatua tatizo-(mchezo wa danadana)- wamesahau ile siku- Mchungaji Msigwa aliwahi kuwaambia kule bungeni, " problem cannot be solved by same level of thinking that created them". Labda wamesahau. umewakumbusha vyema.Hawa ndio wallianzisha ubaguzi, ukabila, ukanda, udini kwa kuja na sera zao kama Sukuma gang, makabila flani washamba, makatili, wajinga.
Hao ndio wanalenga teuzi flani kwa milengo ya dini, ushkaji, undugu.
hahaaa jamaa nadhani hata yeye anashindwa kulitamka hilo jina lake๐ ๐คฃ mimi najua Nigrastriatal ila hilo nimeshindwa hata kulisoma haraka
Haya changia sasa
Nigra strata tract nerve๐Siusomi huu Uzi mpaka nijue maana ya hilo jina lako hapo juu.
Ningependa kujua kama ina maana yoyote, maana kutamka hilo jina unaweza ukakata ulimi bureNigra strata tract nerve๐
RightHuyu Nape , ni mnafiki na anawakilisha viongoz wanafiki. Kwanza ni wazir wa habari, si kwamba ana sifa za kuwa wazir wa habari, la hasha, ni wazir wa, habari kwa kuwa tu baba yake alikuwa chawa na Mumbaji mtumbuizaji wa Nyerere na wenzake. Yaan huyu jamaa ni bumunda haswa.
Nigra- A layer of deeply pigmented gray matter situated in the middle brain and containing a cell bodies a tract of dopamine producing nerve cells whose secretion tends to be deficient in parkinson's disease.Ningependa kujua kama ina maana yoyote, maana kutamka hilo jina unaweza ukakata ulimi bure
Msoga naye hakuachwa salamaNape Nnauye ni mfano mbaya wa Viongozi wa Tanzania napata Mashaka hata namna alivyopata nafasi kubwa serikalini hii inamaanisha kuwa Kuna Nepotism kubwa sana serikalini kimsingi Nape Moses Nnauye hakutakiwa kuwa hata balozi kwa sababu ni kiongozi mwenye mdomo mchafu uliojaa matusi.
Mara kadhaaa tumeshuhudia Nape Nnauye akimtukana Magufuli tena kwa kumdhalilisha anapata wapi credibility ya kumdhalilisha Mheshimiwa Antipas Tundu Lissu.
Nape amenukuliwa Mara Kazaa akimtukana Lowasaa lakini hakuona aibu.
Nape kwa nini hajamtukana na kumpinga Mange kimambi ambaye kutwa kila kukicha anamdhalilisha Mheshimiwa Rais na tunasema ajitafakari sana huyu.
Pia soma Nape Nnauye: Nashangaa Watanzania wanaokwenda kusikiliza upuuzi wa Lissu. Tumkemee, tumtenge na tumlaani
You are an enigma to me not because of your political views, rather how can someone who appear to be so rationale politically.only the next day to appear fully promoting spiritual viewpoints (heavenly beliefs).Nigra- A layer of deeply pigmented gray matter situated in the middle brain and containing a cell bodies a tract of dopamine producing nerve cells whose secretion tends to be deficient in parkinson's disease.
Strata-layer/ rock on a ground
Nerve- cable like bundles, fibres, wires in the body, mostly in the brain
Anajaribu kujilinganisha na mfumo unaozalisha nerve cells katika Ubongo, nadhani hiyo ndiyo centre ya fikra inayotofautisha kiwango Cha kufikiri kati ya mtu na mtu.
Usishangae,You are an enigma to me not because of your political views, rather how can someone who appear to be so rationale politically.only the next day to appear fully promoting spiritual viewpoints (heavenly beliefs).
Very contradicting on who you are
I never thought you were that spiritual, mpaka baada ya kuona mada zako kwenye majukwaa mengine. Mind you, you are entitled to that viewpoint,Usishangae,
Mungu anatuleta siasani kunyoosha mapito ya HAKI baada ya wanasiasa kushindwa WAJIBU wao.
Popote palipo na Kweli na HAKI utanikuta.
Hizi ni siku za mwisho usisahau, ground za mapambano zinahama hama.
Kuna mahusiano ya karibu sana kati ya unachokiita dini na siasa.You are an enigma to me not because of your political views, rather how can someone who appear to be so rationale politically.only the next day to appear fully promoting spiritual viewpoints (heavenly beliefs).
Your view points makes you very contradicting based on how we see you and what you stand for.
Surely a politician, canโt promote religious movement nakuwa nashangaa sana napokuona una pamba au kupinga mitume, vitu ambavyo avifanani na uwezo wako. You donโt come across as that spiritual kwenye jukwaa la siasa kuangaika na upuuzi wa mambo ya dini.
Thatโs just my thought of you
Mimi ni mtumishi katika HAKI kabisa.I never thought you were that spiritual, mpaka baada ya kuona mada zako kwenye majukwaa mengine. Mind you, you are entitled to that viewpoint,
My bad inawezekana tatizo ni mimi, labda nategemea wote humu kwenye jukwaa la siasa mtazamo wetu ni kanuni za siasa.
Be you and godbless ๐๐๐
KIGOGO MANGE NNAUYEKigNaomba mwenye kumbukumbu yoyote humu Jf inayo elekeza shutuma chafu za Mange dhidi ya ccm au viongozi wa kuu wa Nchi Nape Moses Nauye aliwahi kuishambulia au kumshambulia Mange!!?
Huyu Nape Moja kwa Moja ni Mshirika wa Kigogo asilimia mia kwa mia
Huyu Nape pia Moja kwa Moja ni mshirika wa Mange!!!
Lini na wapi amesha wakosowa watu hao nilizo wataja hapo kuu
Mungu ibariki Tanzania
Mungu mbariki Mama Raisi wa Tz
Nchi ya kinafiki sana tunasafari ndefu ya kufika Kanani
Kazi ya mungu aipingwi.Mimi ni mtumishi katika HAKI kabisa.
Nimetumwa siasani kuyanyoosha mapito na kuhakikisha HAKI na Kweli inatawala juu ya nchi.
Ubarikiwe.