Boss la DP World
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 2,318
- 8,464
2025 polisi hawataweza, wangewekeza kwenye kura tu.Nani? Aliekuambia CCM wanategemea kura ?
NaamDuuu hao watoto wa mafisadi
Yuko mwana salfasa mmoja Kasema uchaguzi ni MATANGAZO sio kuraa.Nani? Aliekuambia CCM wanategemea kura ?
Sisi kanda ya ziwa tunapenda kuwaambia CCM kwamba wasimpomtoa mama muuza 2025 wahesabu maumivu.Wiki kadhaa zilizopita nilikuwa na mizunguko huko mikoa ya kanda ya ziwa, baada ya kudodosa mawili matatu toka kwa wahenga wa huko nikabaini hawa watu kuna jambo wanalo moyoni kuhusiana na mtoto wao.
Kwakifupi sijui ni kwanini ila wengi wanawahusisha sana hao waheshimiwa hapo juu na kisa cha mtoto wao. Sijui ni kwanini hisia zinawapeleka huko ila kwa kifupi hili jambo litachukua muda sana kuondoka akilini mwao.
Mwananzengo 1 akasema akiona 1 kati ya watajwa basi anamkumbuka mwanaye. CCM angalieni hili, ikiwa mnadhani halina uzito liacheni, ila binafsi naona 2025...
Na mama hamumtaki?Sisi kanda ya ziwa tunapenda kuwaambia CCM kwamba wasimpomtoa mama muuza 2025 wahesabu maumivu.
Ndiyomaana namsaidia mama sshBandari imekuchachia sasa umeanza kuwasakama.
Pigia mstariNa mama hamumtaki?
Wiki kadhaa zilizopita nilikuwa na mizunguko huko mikoa ya kanda ya ziwa, baada ya kudodosa mawili matatu toka kwa wahenga wa huko nikabaini hawa watu kuna jambo wanalo moyoni kuhusiana na mtoto wao.
Kwakifupi sijui ni kwanini ila wengi wanawahusisha sana hao waheshimiwa hapo juu na kisa cha mtoto wao. Sijui ni kwanini hisia zinawapeleka huko ila kwa kifupi hili jambo litachukua muda sana kuondoka akilini mwao.
Mwananzengo 1 akasema akiona 1 kati ya watajwa basi anamkumbuka mwanaye. CCM angalieni hili, ikiwa mnadhani halina uzito liacheni, ila binafsi naona 2025...
Kanda ya ulienda kufanya nini inamaana na Burigi unaitakaWiki kadhaa zilizopita nilikuwa na mizunguko huko mikoa ya kanda ya ziwa, baada ya kudodosa mawili matatu toka kwa wahenga wa huko nikabaini hawa watu kuna jambo wanalo moyoni kuhusiana na mtoto wao.