Nape Nnauye kama January Makamba, maji ya shingo yamfika. Amuangukia Rais Magufuli baada ya kumnanga


Kama uliyo yaandika kwa Mujibu wa Akili yako unahisi ni sahihi basi Marekani isingekuwa hivi ilivyo kwa Rais wa Nchi yao kutukanwa hasa kuliko huyu wa kwako.
 
Nape ni kama majaliwa. Kabila lake ni mwera huwa ukoo wanarithi kwa mama zao. Familia za kimwera huongozwa na wanawake.
Sita shangaa hata Membe siku moja kusikia naye kabatizwa kwa mavi hapa pia kwani sijawahi kusikia shujaa wa kimwera....
 
Jamaa mi arrogant sana

Sa unamsamehe mtu hafu unatangaza kwenye media

So what ?

Ili iweje

Yalioyoongelewa ni kweli ama uongo ?
Babu anavyopenda media sasa...sijui kwanini alitaka malaika wazifunge. Tungeyaonea wapi haya sasa??? [emoji1787][emoji1787]
 
Binadam hamna jema kabisa
 
Kumuita diki teta.

Ha haaa ,acheni utani bana.Dikteta ni Sifa kama ilivyo Sifa ya Mtu mdokozi /Malaya /Daktari nk.Cha Msingi ni Ukweli wa Sifa aliyo pewa Mtukufu sana Mh Raisi wa Nchi kuthibitishwa na alie mtuhumu.
 
Mbona body language ya Nape inaonyesha vingine kabisa, hebu wataalam wa saikolojia twambieni, mbona anaonekana kulazimishwa, hata vidio anayotembea anaonekana kutembea kama amelazimishwa, hivi Nape anatembeaga hivyo.
 
Kusameheana ni jambo zuri
Tunapata funzo pia La kusameheana Kama watanzania.
 
Mbona body language ya Nape inaonyesha vingine kabisa, hebu wataalam wa saikolojia twambieni, mbona anaonekana kulazimishwa, hata vidio anayotembea anaonekana kutembea kama amelazimishwa, hivi Nape anatembeaga hivyo.
Anatembea hivyo hivyo ,waliodanganya wamepotea
 
Hakuna yeyote hadi leo hii aliyethibisha Kinana kaikimbia nchi. Mtanzania yeyote ana ruhusa ya kwenda nchi yoyote ile duniani kwa kufuata sheria husika na kufanya hivyo haimaanishi kaikimbia nchi.

Kumbuka kinana amekimbia uhamishon Canada
 
mwoga ndio anayeenda kuombwa msahama...
Another dogma[emoji16][emoji16]
..Magufuli ameogopa kuwafukuza.

..hawa wana mizizi mirefu ktk chama.

..pamoja na kuomba msamaha haiondoi au kufuta mitizamo waliyonayo kuhusu Magufuli.
 
Loh! Kushikiwa bastola inabidi ajisahaulishe. Nje ya system anaogopa kufa njaa. Watu kama hawa kamwe hawawezi kuwa chama pinzani kwani hawawezi kujitegemea.
 
Nadhani hii ni mind game tu wanayofanya waomba misamaha,ila wanajua wanachokifanya,sidhani kama ukikaa chamber na Nape au January sidhani kama maombi yao yanatoka moyoni bali ni namna ya kumjua vizuri adui na kumpumbaza.

Politics is a technical dirty game.Binafsi siamini sana kile kinachotokea labda kama kilitengezezwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…