Tetesi: Nape Nnauye kuhamia CHADEMA?

Kama angekuwa anajiamini kuwa anapendwa na hatembelei juu ya migongo ya watu na hasa wanawake angeanzisha chama chake na sikuenda kuungana na Lowasa!!tulishasema chadema ya zamani ya kuwatetea Wa nyonge siyo ya Leo !!chadema ya lowasa ,sumaye ,mbowe haiwezi tena kuwateea wanyonge!!Bali inatetea wapiga dili,mafisadi,washukiwa Wa madawa ya kulevya na wakwepa kodi!!inasikitisha sana!!ndo maana umaskini Africa hauwezi kuisha hata siku moja!!
 
Hata mtoto anayesoma Awali hawezi kuandika propaganda za kipuuzi kama hizi...UVCCM bhana!
 
Bashite si utoe vyeti tu mambo yaishe kuliko kujaribu kutuhamisha kwenye sakata la vyeti kwa propaganda uchwara kama hizi?
 
ujinga kama huu ndio wana CCM wanauweza zaidi

Jinga kabisa
 
Inaumiza unapojikuta umejikaza kushuka ese alafu unakuta mwl kakupa 2/15 alafu kakuandikia OP
 
UMESHATAWADHA????
 
Sasa si ahame tu! Mbona EDWARD LOWASSA yeye alihama alifanya maamuzi magumu na akahama bula kuanza kujitangaza kwenye media kabla. CCM hakuna aliyefungwa kamba miguuni ili asihame. NAPE anataka tu kupata njia ya kujitangaza tu.
 
Mi, kwa heshima napingana na hoja ya Prof Shivji kwa sababu Nape alifanya jambo la kimila/kiutamaduni. kwa mfano pengine ni sawa na kusema wale akina mama wa kihindi wanao vaa wakionesha matumbo na migongo yao nje wanakosea, kitu ambacho si sahihi. Mi naomba tunapokosoa swala la mila na utamaduni wa watu tuwe makini.
 
Hivi kingunge ngombale mwili na nape ni nani maarufu katika siasa?
 
Hao waleta tetesi wamemsahau na bashe na zitto pia maana anatamani kweli kuwika akiwa chadema badala ya Act
Mara baada ya JK kuondoka Ikulu na JAck Zoka kuteuliwa kua baloz wetu kule Canada na Magufuli kuingia Ikulu then nilijua na kua na hakika kwamba yule aliyekua ana finance act kaondoka na vision yake while aliyekuja nae kaja na vision yake, huenda hua anauliza, "kwanini tuendelee kui finance act? Hajapata jibu na hapo ndio mwami huyu wa Kigoma anapoona bora warudie makamanda wenzie wa zamani but the question remained; ataendelea kuaminiwa hata akitubu?
Bashite weka vyeti Mezani wacha Blah Blah
Haa ha ha ha, kaka hapa ulikua unaimba? Au?? Nimec heka sana nilioona comment yako
 
Leo nimeamini love is blind yani mtoa mada kaleta mada nzuriii na hajaonyesha kusimama upande wowote ule lakini wale wenye mapenzi na vyama wanakuja kuponda without even thinking ...
My take kama kila hoja tutazichukulia kisiasa basi ule useme wa wasakuma wawili wanaseka ng'ombe million50 utakuwa unatufaa
 
mods thread zingine muwe mnazikata juu kwa juu hata kaba hazijafika hapa
 
Umeeleweka na umepuuzwa!!

1-Wananchi kwa sasa tunataka kujua nani anaratibu na kutekeleza UTEKAJI unaoendelea kwa raia wasio na hatia hapa Nchini, na utekelezaji wa jambo hili ni kwa madlahi ya nani??

2-Lini serikali itapandisha madaraja na kuajiri wafanyakazi wapya??

Na bila kusahau suala la vyeti, mwambieni Mkuu wa mkoa bado anadeni la kuonesha vyeti kwani wananchi hawajasahau...
 
Wamehama mawaziri wakuuu wasitaafuuu sembuse napeee.
Aendeee tuuuu CCM Bado tuko imara kabisaaa
JPM piga kazi babaaa wala usibabaishweee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…