Nyendo
JF-Expert Member
- Jun 4, 2017
- 1,336
- 4,731
Waziri wa Habari, Mawasiliano na teknolojia ya habari Nape Nnauye leo anatarajiwa kuzindua huduma za mawasiliano ya Internet zitakazokuwa zikipatikana kwenye Mlima Kilimanjaro.
Kwenye ukurasa wake wa Twitter Waziri Nape ameandika yafuatayo ———> “Leo juu ya Mlima Kilimanjaro napandisha mawasiliano ya Internet yenye kasi (broadband) kwenye paa la Afrika”
“Watalii sasa wanaweza kuwasiliana duniani kote toka kwenye kilele cha Mlima Kilimanjaro, tunakwenda uhuru peak, #royaltourcompliment #royaltour @ SuluhuSamia” ——— amemalizia Nape Nnauye