PreGE2025 Nape Nnauye: Ngoma ya watoto haikeshi, mimi ndio Simba wa kusini, tunaenda kupiga kwenye mshono

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

The Watchman

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
2,186
Reaction score
4,940
Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye, amesema kwa ukanda wa mikoa ya Kusini, yeye anabakia kuwa 'Simba'.

Nape ameyasema hayo leo, Aprili 13, 2025, wakati Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi na Mafunzo wa Ccm Taifa, Amos Makalla, akiendelea na ziara katika mikoa ya Kusini, Mtwara na Lindi.
Your browser is not able to display this video.
 
Siku isiojulikana itaondoa viburi vyote na wananchi wataamua hatma ya nani awe kiongozi wao. I have a dream!
Heri utukufu wa mwisho kuliko fahari ya sasa...
Ipo siku watalia sana.

Achekaye wa mwisho, hucheka sana
 
😑😑😑😑😑😑😑😑😑😑😑

Your browser is not able to display this video.
 
Huu usimba kapewa na nani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…