Nape Nnauye: Nilikatazwa Kwenda kuchunguza Uvamizi Clouds, niliambiwa nitafukuzwa kazi

Tangu wakati ule Nape akili yake ilipata akili
 
Vipi sisi mnaturuhusu kuchunguza kifo cha Rais wetu JPM?
 
If he did it why can't we say he lisudi?
 
Mh. Nape palikuwa na ulazima wa kuyasema haya? Na kwa nini sasa?
 
Siku MAKONDA anarudishwa kwenye hii serikali ntasema YES chuma hichoooo

yani NAPE bwabwaja weee,makonda hasikiki hata yuko wapi lakini jicho langu

linamuona MAKONDA mahali kwenye hii nchi,hizi kauli zako utatamani uzimeze hiyo siku

maana Ki SIASA makonda akirudishwa tu ujue ndio ushapotea,hutoonekana Tenaaaaa,ropoka tu
 
Uyu naye atulie siku akiachia kiti yapo mengi tutamkumbusha
 
Kama vile anavyobebwa sasa hivi uenda naye kuna watu wanataka atoke lakini wanaogopa kufukuzwa kazi pia, atuache kidogo tushajua dhamira yake Zama zinabadilika pia. Lambeni tu asali lakini wekeni heshima Kwa watangulizi.

Heshima haiwekwi kwakuwa ulikuwa mtangulizi, bali heshima inawekwa kama ulikuwa na heshima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…