Nape Nnauye: "Wanaotaka serikali tatu ni wahuni"

Nape Nnauye: "Wanaotaka serikali tatu ni wahuni"

Imma Saro

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2012
Posts
394
Reaction score
197
"Wanaotaka serikali tatu ni wahuni" Nape Nnauye:Hii kauli ya Katibu wa Itikadi na Uwenezi wa CCM,Nape kumtukana Mwenyekiti wa chama chake na Raisi wa nchi.

Tume inayongozwa na Jiji Warioba,iliteuliwa na Raisi hivyo kuwaita wanaotaka serekali tatu ni wahuni,afahamu kwamba kamtukana mkuu wake na sio mwingine.

Na kama raisi alipokea maoni rasimu iliyokuwa na serekali tatu,ambazo Nape anaita ni wahuni,sasa asilimia 63% ya watz ni wahuni?

JK hataki misimamo ya vyama bungeni, nyie serekali mbili mnatoa wapi?

Maoni ya watanzani yanatakiwa kuheshimiwa na kulindwa kwa gharama yoyote hata ikibidi,kumwajika kwa damu,Lengo kuheshimu Sauti ya Umma

998148_599366356814029_1007714217_n.jpg
 
Alitoa kauli hii jana katika mkutano wa kampeni katika kata ya kiboloroni Moshi mjini"
 
"Wanaotaka serikali tatu ni wahuni" Nape Nnauye:Hii kauli ya Katibu wa Itikadi na Uwenezi wa CCM,Nape kumtukana Mwenyekiti wa chama chake na Raisi wa nchi.

Tume inayongozwa na Jiji Warioba,iliteuliwa na Raisi hivyo kuwaita wanaotaka serekali tatu ni wahuni,afahamu kwamba kamtukana mkuu wake na sio mwingine,
Na kama raisi alipokea maoni rasimu iliyokuwa na serekali tatu,ambazo Nape anaita ni wahuni,sasa asilimia 63% ya watz ni wahuni?
JK hataki misimamo ya vyama bungeni, nyie serekali mbili mnatoa wapi?
Maoni ya watanzani yanatakiwa kuheshimiwa na kulindwa kwa gharama yoyote hata ikibidi,kumwajika kwa damu,Lengo kuheshimu Sauti ya Umma
,

998148_599366356814029_1007714217_n.jpg

Kuna muhuni na mjiga kama Nepi ooh sorry namaanisha nape
 
Swali la kujiuliza Nape alimuita nani? muhuni? Warioba au Aliteuwa tume ya kukushanya maoni

Nape amechanganyikiwa very desperate na ana-frustration kichwani za kumwaga chezea M4C pamoja daima...
 
Yey ndo muhun katiba ni yat wananch si ya ccm, nape ndo muhun, yaan nikwamba sisi ndo wahun coz watanzania %60 wanataka katiba mpya, kwahiyo watanzania ni wahun, mm naomna kumuuliza huyu nape cjui nepi, kwann ccm hawakuzunguka tanzania nzima kujua wananch wanataka katiba gan? Nasema katiba hii ni ya watanzania na wala si yachadema na ccm ieleweke hvy, serikal 3 ni lazma si hiar tena kwa maana wananch ndo wamependekeza na wala si ccm au chadema, huyu nape akil zake haziko sawa, kwanza ni mlopokaji tu, ila ya mawazir mizigo mbona haongei tena?
 
Nape amekosa radhi ya wazazi wake na kauli zake zinaonesha wazi ni jinsi gani alivyo -------- na asiyekuwa na uwezo japo kidogo wa kufikiri na kutafakari mambo ya msingi...
 
` Na atajua nani muhuni ,mwacheni azipitishe mbili ,hivi ile mada ya SERIKALI TATU NI LAZIMA mliona natania ? Mbona kutawaka moto ,mbili zitakazokuwepo ni ya Tanganyika na ya Zanzibar ya tatu ambayo ni ya umoja na amani ni ya Tanzania ,ila zile mbili za WaCCM hazitakiwi hatuzitaki hata kuziona na wakizileta Tanzania nzima kutawaka moto na dunia itajua,hilo alijue yeye na wenziwe , mambo ya kuburuzana mwisho wake ni mwaka huu.
 
Jamaa Vuvuzela mbaya...! yaani anawaita watz wote waliotoa maoni ni 'wahuni'....na haoni kuwa yeye ni 'chokoraa damu' kama ndg zetu wa Kenya wanavyowaita watoto wa mtaani ...

Nepi ni mtoto chokoraa...na ni 'matokeo ya mdundiko' na hana baba kamili! Baba yake sie huyu late Moses Mnauye, maana hata ukitizama kwa wepesi tu, majina ya wale watnawe walioachwa yatima, wala hakuna mbari inayoendana na Nepi! au hata jina linalokaribiana...!

Haiyumkiniki akaongea maneneno yasiyo na busara kwa taifa nzima maana hajawahi kuyapata malezi ya mzazi...ni mhuni tuu huyu!
 
wahuni ni waliopo serikalini ,maana ,kuachia tembo wanauliwa,faru wanauliwa ,pempembe zao zinakamatwa kila sehemu hadharani mchana kweupe ,mnawabambikizia wachina, hivi mchina alienda msituni na kufanya mauaji ? Kufukuza uwaziri na kusema wengine mzigo ,bado hakujamaliza kiu ya WaTanzania kutaka kumjua ni nani alie nyuma ya pazia la mauaji ,mnataka kusema hadi hii leo majangili wakuu wahusika ,waliowezesha pembe kutoka msituni hadi kufika dar ,hadi kufika Zanzibar hadi kufika China ,ni kweli hamjawajua kama si uhuni ni kitu gani mnachowaonyesha waTz ?
 
​
MATOKEO YA UCHAGUZI WENYEVITI WA VITONGOJI

Kata Rujewa Nyamtowo CHADEMA 87 CCM 24
Mabanda "B" CHADEMA 73 CCM 61

Hongera sana Mbarali kwa ushindi kuchukua vitongoji vyote vya CCM

Moses nnauye katuachia ule wimbo mzuri tazama ramani. Cjui huyu ataacha nini
 
Mhuni ni yule aliyetoa mawazo ya mawaziri mizigo, na JK akayaona ni mawazo ya kihuni, na kuyatupa nje!
 
Ni mara kwa mara tunaona katibu mwenezi wa ccm Nape nauye kukurupuka kwa kauli ambazo hazina tija kwa wananchi,mfano msimamo wa chama cha ccm juu ya serikali mbili ndani ya katiba mpya,je umeambiwa katiba ni ya wana ccm ya ya wananchi?fikiria kwanza kabla ya kuropoka
 
Sijui kama atakusikia
Na hata kama atasikia sidhani kama ataufanyia kazi
 
Ni mara kwa mara tunaona katibu mwenezi wa ccm Nape nauye kukurupuka kwa kauli ambazo hazina tija kwa wananchi,mfano msimamo wa chama cha ccm juu ya serikali mbili ndani ya katiba mpya,je umeambiwa katiba ni ya wana ccm ya ya wananchi?fikiria kwanza kabla ya kuropoka

Ni mnafiki, kawekwa hapo kwa kulindana, kwani uelewi ni mtoto wa Moses Mnawie
 
Back
Top Bottom