Yani Mzumbe nimewadharau sana! Inakuwa vipi kilaza kama NAPE wanamtunuku shahada ya Uzamili?! Mwenye Dessertation yake tunaomba muiweke hapa jamvini tuisome na tuijadili maana ukishatunukiwa hiyo shahada kazi yako ya Dessertation inakuwa matter of Public na siyo siri tena!
I like this!!Tuwekee ya kwako tuijadili kwanza
jf IMEKUA NGUMU SANA SIKU HIZI... HATA AJE MTUME HAPA WATU WATAOMBA VYETI NA SIGNATURE TOKA KWA MUNGU NA WATAULIZA KAMA MUNGU ALIKUA AMELEWA AU SOBER WAKATI ANATUNUKU VYETI YA UNABIITuwekee ya kwako tuijadili kwanza
hongera uliyesoma chuo cha tarafaMzumbe chuo cha kata.
Tuwekee ya kwako tuijadili kwanza
Mzumbe chuo cha kata.
nilitaka kusoma MBA Mzumbe............
wameanza kuniboa
Mi bado sijagraduate. Nikimaliza yangu nitaiweka! Mwambie NAPE basi aiweke yake hapa jamvini mbona unamtetea? Au alibadilisha cover page ya mtu mwingine akai-submit kama yake?!
nilitaka kusoma MBA Mzumbe............
wameanza kuniboa